Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 4,153
- 3,800
Shemeji yangu Paskali, uwe hivyo siku zote.Wanabodi,
Naomba kuuliza,
Of late, there has been a lot of hiring and firing kwe ile ofisi yetu nyeti!.
Could there be a problem with our vetting systems? . This hirings and firings za ofisi nyeti ile, hazitaonekana kama early signs of incompetence on part of the appointing authority?.
Haijapata kutokea the changing guards ya type hii hapa nchini!, yaani ma DGIS 4 wanakuwa hired na fired ndani ya miaka 3! Haijapata kutokea! what is it exactly?
Huko nyuma niliwahi kuandika na kushauri TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe! jee inawezekana haya yanayoendelea sasa ya panga pangua ndio safisha safisha?
Na ikitokea ni kweli kuna tatizo, naendelea kusisitiza tusimlaumu yeye kwa makosa ya kukoseshwa na wasaidizi wake, maana na yeye ni binadamu pia na sio malaika Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda hivyo tuendelee kumpa muda wa kutosha kabisa, na hata ikifika 2025 nyumba yetu ikawa bado haijakaa sawa, tumpe mitano tena ili akamilishe, anakwenda kutupatia katiba mpya.
Paskali
Cc. britanicca
Kuna kitu hakiko sawa ktk nchi yetu. Mfano huwezi amini Mkoa kama Mwanza ndani ya miezi kadhaa wamebadilishwa Wakuu wa mikoa takriban 4. Hata kama una haraka ya maendeleo,kwa style hiyo siyo sawa.