Could this be it?....................

Mi nina mashaka kama atasikiliza ushauri wako.......labda umuunge mkono.....

Hapo sasa but nimeshaamua kutokuwa biased...nitamwambia tu issue niitilie mkazo kwenye 'MUME WA MTU' akinisikiza sawa akinichukia shauri yake ..........nitategesha printout ya comments zenu mezani nijifanye nimeisahau

Mwanajamii One inawezekana kabisa...hii ya dada kuzaa na mwingine na jamaa kuoa ni ajali tu ya kimapenzi but moyo ya kupenda wacha kabisa,hakuna kushauri hapa ni kukaa nje na kusoma mchezo utaona picha itakavyojibu yenyewe

Horseshoe aksante nadhani ni bora nikamweleza kiutuuzima kisha nikae pembeni na popcon zangu nicheck movie
 
mi nakwambia acha tuamini yale tunayoona na kuambiwa tusitake kujua yaliyomo mvunguni,we hujawahi kujiuliza tunapoandika hapa wakati tunapost yatokee yale tuwazayo na kufanya huu mforum usingekuwepo maana ingekuwa balaa hapa.HAKYANANI LABDA MIE NAWAZAGA MAMBO YA AJABU SANA I WISH .................................MJI.


 

ni kweli, tabia hubadilika kutokana na sababu nyingi...lakini hii pia inafundisha kwamba upendo usipimwe kwa mali mtu anazoweza kutoa, bali kwa tuende zaidi ya hapo.
 

MJ1 hivi hukusikia nimesemaje? Mtu unatakiwa kujitengenezea cushions ili uzuie magonjwa ya moyo. Na mojawapo ni kuuamini moyo wako tu! Kulala kitanda kimoja na kufanya mambo gani sijui wala haijalishi. Watu wanawakopa wenzao kila siku na ndoa nyingine zimeenda hivyo hadi uzeeni.

Ila kikubwa ni kutunziwa heshima. Kama bibi anagawa mali ya Mzee DC ila mzee hajui lolote na anatunziwa heshima yake kama mume ni bora mara 1000 kuliko mtu anayejidai hagawi ila siku moja akirubuniwa na shetani anapitiliza hadi habakizi kiporo cha wajukuu!
 
It cant be! The truth of the matter is the man loves his wife dearly unfortunately he is just infatuated with this other woman, i mean your sisy. After all the years of such a good friendship I thought your sisy should know better by now that if there is anything between them then it is just friendship and no more. For Gods sake he is married. Tell me, does your sisy has a boyfriend? if yes she better pursue him instead of a married friend. After all your sisy doesnt love him, if she did she would have him long time ago regardless of whether he is married or not.
 
Bora wakwetu umeliona nawe hilo.
Jamaa ni msanii, period.

Mbona mnakimbilia kumhukumu mwenzenu?
Huenda dada wa Mwanajamii ndiye mpenzi wake wa awali. Huenda mkaka katika kujaribu kuendelea na maisha yake baada ya kumkosa dada yetu, kakumbwa na mikasa na hivyo kuona dada ndiye chaguo sahihi tu.

Nionavyo miye, mdada hajaolewa ana mtoto tu, kwani huyo kaka kama ndoa yake ni chungu kinachomfanya ashindwe kuondoka ni nini? Dada hajaolewa kama nimempata Mwanajamii, sioni anaogopa nini kama naye moyo umeanza kurudi.Kama kaka ataachana na mkewe basi wapate ruksa!

Hapa watu watasema ya kweli ya moyoni, ya kinafki, na mengine lakini mwisho wa siku moyo wa mtu utaamua.
 
It all depends on how one define marriage. If you can just walk in and out of it just like toilet then it is just easy to make divorce decision.

 

Sawa, lakini kama bado ana ndoa ni vyema basi atoke kwanza kwenye hiyo ndoa halafu aanze na dadake MwanajamiiOne. Au unapingana na hilo?
 
It all depends on how one define marriage. If you can just walk in and out of it just like toilet then it is just easy to make divorce decision.

Ndio maana kuna talaka 1,2,3.Isingekuwepo uwezekano wa talaka zote hizi.Ndoa ni kifungo kwa wengine lakini siyo kifungo kwa wengine.Na hata hao wanaosema ni kifungo mbona huachana? Tatzo la wengi ni unafki tu! Watu hawaachani kwa talaka lakini mioyo yao iko kwengine na hata wanaishi maisha kinyume na hizo imani zao.
 

Huwezi kuamka tu asubuhi na kuvunja ndoa..Hebu soma tena kisa vizuri na ufuatilie mawazo ya wengine..Hebu wewe jiweke kwenye nafasi ya mke wa huyo jamaa, ungependa kufanyiwa haya bila hata sababu ya kueleweka?
 

hii ni issue nyingine sasa..
 
Nimekuelewa sasa. Kumbe tuna imani tofauti. Sorry kwa kukukwaza. I am Christian wakati mwingine najisahau na ku-assume wote tu dini moja.

 
si lazima kuwa ni true love-wapo wanaume wanaolia then baada ya game-wanafuta hadi namba-hayo machozi ni kwa sababu bado anatafuta admission-naamini akiipata-huyo dada yako atashangaa
 
Tatizo sisi wanawake tulishaambiwa mwalimu wetu kipofu. Yaani utasikia mtu anamsifia mwanaume wa mtu "ananipenda sana na anajali familia yake pia, he his very innocent guy" Sasa hizi ni sifa kinzani. Someone should either be "in" or "out". Mapenzi ya wawili mimi sina imani nayo. Penzi haligawanyiki!
 
Tunachanganya mapenzi na tamaa. Wanaume kwao ku "do" kunatimiza haja zao za mwili. Wakati sisi hilo jambo linahusisha mwili, akili na roho. Utaanza kumuwaza mume wa mtu kumbe yeye akili yake haipo kwako iko kwenye ku "do" tu.
 

Usanii@mapenzi.com that's what we call it!!!

Lakini maadam dadamtu kaonyesha kunogewa, tumwache aonje ili aungane nasi kukubali kwamba kulia na penzi ni vitu viwili tofauti:spy:
 
na siku mambo yakiwa murua nyumbani kwake anaweza kusahau kama ulishawahi kuwepo,mi simshauri aliamua kuoa akae huko na mkewe kama atakubali na gharama za nyumba ndogo azijue na awe tayari kuzibeba mwisho wa siku.:yawn:
Very true observation... na ipo hivyo kwa wote, mwanaume na mwanamke
 
Hivi ulisoma vizuri alichoandika da MwanajamiiOne? Ni kwamba jamaa ni mume wa mtu. Ana ndoa hivyo mwenzio. So how can she give it a shot whilst he's still married to his wife? Are you saying she should have an affair with a married man?
Mkuu

wengi tu wana ndoa na wana give a shot and a few (very few) wanafanikiwa, tuache utopia tuongee ukweli, ni wangapi tunawafahamu wameolewa na ex-husbands wa watu??

Its not a closed system anymore, marriage is an open system depending on the players
 
If that is what you believe kila mkeo akinuna wewe utatoa taraka uoe atakaye cheka siku zote. sijuhi hiyo openess itafanya watu waoe/waolewe mara ngapi maishani


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…