MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
- #181
Mi nina mashaka kama atasikiliza ushauri wako.......labda umuunge mkono.....
Hapo sasa but nimeshaamua kutokuwa biased...nitamwambia tu issue niitilie mkazo kwenye 'MUME WA MTU' akinisikiza sawa akinichukia shauri yake ..........nitategesha printout ya comments zenu mezani nijifanye nimeisahau
Mwanajamii One inawezekana kabisa...hii ya dada kuzaa na mwingine na jamaa kuoa ni ajali tu ya kimapenzi but moyo ya kupenda wacha kabisa,hakuna kushauri hapa ni kukaa nje na kusoma mchezo utaona picha itakavyojibu yenyewe
Horseshoe aksante nadhani ni bora nikamweleza kiutuuzima kisha nikae pembeni na popcon zangu nicheck movie