Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
...Ninaomba msaada wenu
Could this be true love from this man?? Mwanaume kulilia penzi na kulisotea kwa miaka yote hii does it have any meaning?
...Mwj1, hakuna kitu kama hiyo. Jamaa kwa jinsi ulivyoelezea 13years alikuwa hajabahatika kuwa faragha na dada'ko, si ndio? Sasa leo kazawadiwa huo muda kinachomliza nini?
Mimi sipendi watu wanaojiliza liza ujinga bana. Ananikumbusha mrembo fulani alikuwa kila aki cheat, anaomba msamaha akilia, kujigaragaza chini na kujiapiza eti akiachwa atajiua! Usanii tu huo.
Anacho anachokililia, (Guilty Conscious) sio penzi...!