Could this be it?....................

Could this be it?....................

tatizo ni kwamba kuna akina dada wengine wanapenda,

kweli kuliliwa, yaani akiona chozi la mwanaume tu, kwisha habari yake!lol...

sasa wanawake wa dizaini hii hawana ujanja hapo!!!!ataingia tunduni tu!

sasa jamani kuishi si ndo kujifunza?tena unawezakuta huyo kinachomliza ni frustrations zake na mkewe hukooo,au nyumba ndogo kaifumania anakuja home na machozi yake ku-seek attention!ila kweli ukiambiwa kua uyaone,haimaanishi uone maghorofa!

gari, pesa sina ndo maana nakwitw mchumba.................................

upo wewe buraza?

hehehe,sasa kama gari na pesa hunaaaaa,unaniita mi nna yard ama bank?sanaa za mjini raha sana,lol!

@MJ1

Kupenda na kulia ni vitu viwili tofauti...
Sijawahi kusikia kulia kukawa expression iliyo genuine
Kwangu kulia ni pale emotions zinapozidi weight physiology ya ntu

Yawezekana jamaa amependa sana na kwangu kigezo kitakua hiyo time waliokua pamoja but machozi never tell the whole story, na mara nyingi yanatumiwa na wasanii

we chunguza hata wanawake wanaolialia au wanasiasa wanaolialia mara nyingi huwa wasanii tu!!!

EITHER WAY KAMA AMEPENDA, MWAMBIE A-GIVE IT A SHOT, YAWEZA KUWA PLATINUM KWENYE PLATE:nerd:

Jamani ninaomba mnisamehe kwa kushidwa kurespond haraka.....majukumu baba chanja naye anahitajihudumiwa jamani.

Samahani kama nimeandika kisa hiki kwa haraka na kushindwa kueleweka but nitajitahidi kukiweka sawa

• Thanks
Reactions: Mbu
Alikuwa analilia nini ambacho hakuwahi kukipata for 13yrs? Damn!
He must be some new type of jerk!

Bora wakwetu umeliona nawe hilo.
Jamaa ni msanii, period.

Kwa kifupi mwambieni mwanajamii amwambie sisy wake ampe hicho kitumbua huyo kidume halafu aone kama kuna true love....

Sijui kama nimeielewa vema hii sredi, ila nachelea kusema...huyo jamaa ni msanii wa kufa mtu..........miaka 13 unammendea mwanamke ilhali nyumbani una mke?.....afu ndo utoe michozi?.....Babu cant smell this.......

Mwanajamiiwan....hapa kazini kuna jamaa limoja lilimmendea dada mmoja hivi mke wa mtu for 7 good years.....badae bibie kwa kulionea huruma akaamua kulivulia andawea....lilivyochovya, bibie hakujua lilipopotelea, na kampuni nzima ilijua.

Duniani kuna maajabu....yule dada kwa kuwa alikuwa mwadilifu na mwenye heshima zake, jamaa lilijiapiza lazima limmege...........na likafanikiwa lengo lake na kusepa.

Sasa hili limjamaa linalommendea dadake mj1.........mj1, mwambie dadako astuke! ushauri toka kwa babu eti!

Mtu kuoa au kuolewa haiimaanishi kuwa hatopenda / hatopendwa na wengine.
Ni kwasababu za kiimani na kiutamaduni tunashindwa kufanya vile mioyo yetu inatamani.
Mtu kukufatilia muda mrefu isikupe uhakika kuwa ni kweli anakupenda. Mwanaume anaweza kuendelea kukusumbua wakati huo huo anachakachua sehemu nyingine. Mwanaume kulilia penzi isikustue. Hawa viumbe wapo tayari kuonekana mapoyoyo ilimradi apate anachokitaka.
Labda utuambie ni circumstances gani zilifanya sist wako asiwe na jamaa.

Husninyo aksante hata mie kusema ukweli sikulitilia sana uzito hilo hoja la kulia na kutoa machozi na kamasi.....btu nahisi kilichomchanganya sisy na mimi pia ni kuona kuwa mwanaume huyo amewezaje kustick kwa muda wote huo na bado akaonyesha emossions za hali ya juu?.........si kwamba dada ni msichana kigori bado la hasha ...ameshakula chumvi zake tu za kutosha. Sijui kwa kweli

• Thanks
Reactions: Mbu
@MJ1

Kupenda na kulia ni vitu viwili tofauti...
Sijawahi kusikia kulia kukawa expression iliyo genuine
Kwangu kulia ni pale emotions zinapozidi weight physiology ya ntu

Yawezekana jamaa amependa sana na kwangu kigezo kitakua hiyo time waliokua pamoja but machozi never tell the whole story, na mara nyingi yanatumiwa na wasanii

we chunguza hata wanawake wanaolialia au wanasiasa wanaolialia mara nyingi huwa wasanii tu!!!

EITHER WAY KAMA AMEPENDA, MWAMBIE A-GIVE IT A SHOT, YAWEZA KUWA PLATINUM KWENYE PLATE:nerd:

...ni mume wa mtu bana, amuache mkewe kwakuwa ana secret crush tu?
tutajuaje jamaa ndio gear zake za 'kulilia jackpot?'

Dada'ke Mwj1 anajitafutia heartbreak :A S 12: ku invest penzi lake hapa Unless,
kajiamulia kuwa 'nyumba' ndogo, aka part time lover kila huyo brazameni akiamua ku fulfil 'fantasies' zake..

First Error!
Umefungua mabano bila kufunga!!!
Then hapo kwenye blue uliandika haraka haraka!!

Nimepata tabu kuielewa hiyo paragraph yenye mabano mengi mekundu
CPU..........nadhani hapa niliandikwa kwa mikono wakati akili iko kwenye glass ya keroro........nisamehe.

Naomba nikufungulie mabano kisha niyafunge
Nilisema kuwa huyo kaka amekuwa secret admirer wa sisy.......ila sijui kama ni sahihi kumwita secret admirer kwa kuwa alishamwambiaga sisy zamani kuwa anampenda sana but nadhani sisy hakuwa anampenda kwa maana ya wawe wapensi/ au hakuwa amemfikiria zaidi ya rafiki wa kawaida) na ilifikia wakati sisy alisafiri kwenda nje kusoma na kule akakutana na mbongo wa kule wakazaa mwana kabla sisy hajarudi Bongo after masomo yake. Na kwa bahati mbaya mahusiano na aliyezaa naye hayapo tena na sisy amekuwa single parent since 2007.

Huyu Bwana admirer aliposikia sisy amezaa na anaishi na mtu Ulaya naye akaamua kuoa though alikuwa bado anawasiliana na Dada kama friend wa kawaida ...kumsalimia na kumwuliza masomo yanaendeleaje n.k. Na hata sisy aliporudi huyu Bwana alimtafuta na kusalimiana naye kwa muda na wakawa wanatoka kama marafiki. Mpaka pale sisy anasema alipoona kama itawaharibia relationships zao walizo nazo so akaamua kumkatia ukaribu ikawa mkaka anajitahidi kusabahi kwa sms na simu tu.......kila akiomba kumwona sisy anachomoa kwa kutoa visingizio moja mbili.

Nadhani nimeeleweka angalau kidogo CPU?

Husninyo aksante hata mie kusema ukweli sikulitilia sana uzito hilo hoja la kulia na kutoa machozi na kamasi.....btu nahisi kilichomchanganya sisy na mimi pia ni kuona kuwa mwanaume huyo amewezaje kustick kwa muda wote huo na bado akaonyesha emossions za hali ya juu?.........si kwamba dada ni msichana kigori bado la hasha ...ameshakula chumvi zake tu za kutosha. Sijui kwa kweli

...hayajali umri haya!
Kuna mtu hapa ambaye hajawahi kuwa na secret crush? imedumu miaka mingapi? Jiulizeni!
I had mine for 14yrs, siku nilipopewa Go ahead (I didnt touch!) ndio siku niliyopiga about turn.
It's not healthy.

Kwa hili la miaka 13 naona ni muda mrefu sana kiasi kwamba, kama mdada alikuwa ndo kigoli wa haja kwenye mwenye miaka 21 mpaka 23, sasa hivi atakuwa anamiaka 34 mpaka 36 ambapo atakuwa ameshachuja na wameshatokea vigoli wakali zaidi yake.
Kama ingekuwa tamaa tu ya kawaida ya mwili, huwezi subili miaka 13.

CPU.......... hili haswa ndilo linaloleta utata kwa sisy .....anadai hakutegemea huyu mtu amgande hivi bure..... Mie nikamwuluza yeye anafeel vipi kwa huyu mtu sasa hivi? na why mwanzoni alimtolea nje....hana jibu !!

CPU..........nadhani hapa niliandikwa kwa mikono wakati akili iko kwenye glass ya keroro........nisamehe.

Naomba nikufungulie mabano kisha niyafunge
Nilisema kuwa huyo kaka amekuwa secret admirer wa sisy.......ila sijui kama ni sahihi kumwita secret admirer kwa kuwa alishamwambiaga sisy zamani kuwa anampenda sana but nadhani sisy hakuwa anampenda kwa maana ya wawe wapensi/ au hakuwa amemfikiria zaidi ya rafiki wa kawaida) na ilifikia wakati sisy alisafiri kwenda nje kusoma na kule akakutana na mbongo wa kule wakazaa mwana kabla sisy hajarudi Bongo after masomo yake. Na kwa bahati mbaya mahusiano na aliyezaa naye hayapo tena na sisy amekuwa single parent since 2007.

Huyu Bwana admirer aliposikia sisy amezaa na anaishi na mtu Ulaya naye akaamua kuoa though alikuwa bado anawasiliana na Dada kama friend wa kawaida ...kumsalimia na kumwuliza masomo yanaendeleaje n.k. Na hata sisy aliporudi huyu Bwana alimtafuta na kusalimiana naye kwa muda na wakawa wanatoka kama marafiki. Mpaka pale sisy anasema alipoona kama itawaharibia relationships zao walizo nazo so akaamua kumkatia ukaribu ikawa mkaka anajitahidi kusabahi kwa sms na simu tu.......kila akiomba kumwona sisy anachomoa kwa kutoa visingizio moja mbili.

Nadhani nimeeleweka angalau kidogo CPU?

Hahaha...naona mjukuu mtiifu una kasi ya ajabu...

Na hapo kwenye red, ni kasi ya kuandika au ndo ushahamia kwa wanywa mbege?

Acha hizo wewe mwenzako analilia penzi unasema anazuga lol mwanaume hadi ametoa machozi ujue its for real

PHP:
Leo jioni dada aliamua kumsikiza (kwa kuwa amekuwa akimsihi kwa muda  wote huo) ........mkaka wa watu si akajielezea hisia kwa kilio yaani  dada amekuwa shocked hajawahi ona mwanaume anatoa machozi na kuongea kwa  uchungu namna hiyo (even after all those years). Amechanganyikiwa na  anahisi kama maamuzi yake yanawezakuwa influence.............kanitaka  ushauri.

MwanajamiiOne mie nimebaki majicho yamentoka (na yalivyo makubwa basi  natisha ka mjusi alobanwa na mlango)- Dada anaonekana kuanza kufall kwa  huyu mkaka.....(mh hata sijui ni aje)

Ninaomba msaada wenu
Could this be true love from this man?? Mwanaume kulilia penzi na kulisotea kwa miaka yote hii does it have any meaning?
machozi mara nyingi ni ....crocodile tears na hata kama ni kweli do not make decisions based on emotional sympathy for that loser......................watu wa namna hii huishia kuwa katika crimes of passion.............................................because they harbor very low self esteem

hahahaha!
Wengine 2shatolewa machozi na makamasi.
Wizi mtupu.

hahaha nyie watu mnawaza niwazayo mie lakini kumbukeni issue ya kulia hapa ni kivumishi tu ha si issue kubwa .....issue ni huo muda ambao hata mie ninaogopa kutoa ushauri!

siina raaahaaa sinaa raaaaahaaaaaaaaaaa EEEEEEEEEH!...naumia na mawazooooooooooooooo

hahaha nyie watu mnawaza niwazayo mie lakini kumbukeni issue ya kulia hapa ni kivumishi tu ha si issue kubwa .....issue ni huo muda ambao hata mie ninaogopa kutoa ushauri!

...narudia tena.
It's ok to have secret crush [admirer(s) ] maishani, lakini sio kila secret admirer anastahili 'kumegewa' kipande cha penzi.

na siku mambo yakiwa murua nyumbani kwake anaweza kusahau kama ulishawahi kuwepo,mi simshauri aliamua kuoa akae huko na mkewe kama atakubali na gharama za nyumba ndogo azijue na awe tayari kuzibeba mwisho wa siku.:yawn:

...hayajali umri haya!
Kuna mtu hapa ambaye hajawahi kuwa na secret crush? imedumu miaka mingapi? Jiulizeni!
I had mine for 14yrs, siku nilipopewa Go ahead (I didnt touch!) ndio siku niliyopiga about turn.
It's not healthy.

na siku mambo yakiwa murua nyumbani kwake anaweza kusahau kama ulishawahi kuwepo,mi simshauri aliamua kuoa akae huko na mkewe kama atakubali na gharama za nyumba ndogo azijue na awe tayari kuzibeba mwisho wa siku.:yawn:
Chauro mambo hope yale matatizo umeweza kukabiliana nayo.

EITHER WAY KAMA AMEPENDA, MWAMBIE A-GIVE IT A SHOT, YAWEZA KUWA PLATINUM KWENYE PLATE:nerd:

Hivi ulisoma vizuri alichoandika da MwanajamiiOne? Ni kwamba jamaa ni mume wa mtu. Ana ndoa hivyo mwenzio. So how can she give it a shot whilst he's still married to his wife? Are you saying she should have an affair with a married man?

hahaha nyie watu mnawaza niwazayo mie lakini kumbukeni issue ya kulia hapa ni kivumishi tu ha si issue kubwa .....issue ni huo muda ambao hata mie ninaogopa kutoa ushauri!

Yaani huyo dadako kwa miaka 13 hakuweza kugundua kama huyo jamaa ni msanii ama sio msanii?
Muda haukwalifai mapenzi aisee....labda jamaa anataka kufidia muda wake ulipotea, na asepe!

Back
Top Bottom