tatizo ni kwamba kuna akina dada wengine wanapenda,

kweli kuliliwa, yaani akiona chozi la mwanaume tu, kwisha habari yake!lol...

sasa wanawake wa dizaini hii hawana ujanja hapo!!!!ataingia tunduni tu!
ha ha ha! ...umeona ee? kisha kilio cha kwi kwi kwa kwenda mbele!
Usanii wa kulilia peremende kwakuwa umeambiwa 'itakuozesha meno!'

gari, pesa sina ndo maana nakwitw mchumba.................................

upo wewe buraza?
Alikuwa analilia nini ambacho hakuwahi kukipata for 13yrs? Damn!
He must be some new type of jerk!
Bora wakwetu umeliona nawe hilo.
Jamaa ni msanii, period.
Mtu kuoa au kuolewa haiimaanishi kuwa hatopenda / hatopendwa na wengine.
Ni kwasababu za kiimani na kiutamaduni tunashindwa kufanya vile mioyo yetu inatamani.
Mtu kukufatilia muda mrefu isikupe uhakika kuwa ni kweli anakupenda. Mwanaume anaweza kuendelea kukusumbua wakati huo huo anachakachua sehemu nyingine. Mwanaume kulilia penzi isikustue. Hawa viumbe wapo tayari kuonekana mapoyoyo ilimradi apate anachokitaka.
Labda utuambie ni circumstances gani zilifanya sist wako asiwe na jamaa.
@MJ1
Kupenda na kulia ni vitu viwili tofauti...
Sijawahi kusikia kulia kukawa expression iliyo genuine
Kwangu kulia ni pale emotions zinapozidi weight physiology ya ntu
Yawezekana jamaa amependa sana na kwangu kigezo kitakua hiyo time waliokua pamoja but machozi never tell the whole story, na mara nyingi yanatumiwa na wasanii
we chunguza hata wanawake wanaolialia au wanasiasa wanaolialia mara nyingi huwa wasanii tu!!!
EITHER WAY KAMA AMEPENDA, MWAMBIE A-GIVE IT A SHOT, YAWEZA KUWA PLATINUM KWENYE PLATE:nerd:
CPU..........nadhani hapa niliandikwa kwa mikono wakati akili iko kwenye glass ya keroro........nisamehe.First Error!
Umefungua mabano bila kufunga!!!
Then hapo kwenye blue uliandika haraka haraka!!
Nimepata tabu kuielewa hiyo paragraph yenye mabano mengi mekundu
Husninyo aksante hata mie kusema ukweli sikulitilia sana uzito hilo hoja la kulia na kutoa machozi na kamasi.....btu nahisi kilichomchanganya sisy na mimi pia ni kuona kuwa mwanaume huyo amewezaje kustick kwa muda wote huo na bado akaonyesha emossions za hali ya juu?.........si kwamba dada ni msichana kigori bado la hasha ...ameshakula chumvi zake tu za kutosha. Sijui kwa kweli
Kwa hili la miaka 13 naona ni muda mrefu sana kiasi kwamba, kama mdada alikuwa ndo kigoli wa haja kwenye mwenye miaka 21 mpaka 23, sasa hivi atakuwa anamiaka 34 mpaka 36 ambapo atakuwa ameshachuja na wameshatokea vigoli wakali zaidi yake.
Kama ingekuwa tamaa tu ya kawaida ya mwili, huwezi subili miaka 13.
CPU..........nadhani hapa niliandikwa kwa mikono wakati akili iko kwenye glass ya keroro........nisamehe.
Naomba nikufungulie mabano kisha niyafunge
Nilisema kuwa huyo kaka amekuwa secret admirer wa sisy.......ila sijui kama ni sahihi kumwita secret admirer kwa kuwa alishamwambiaga sisy zamani kuwa anampenda sana but nadhani sisy hakuwa anampenda kwa maana ya wawe wapensi/ au hakuwa amemfikiria zaidi ya rafiki wa kawaida) na ilifikia wakati sisy alisafiri kwenda nje kusoma na kule akakutana na mbongo wa kule wakazaa mwana kabla sisy hajarudi Bongo after masomo yake. Na kwa bahati mbaya mahusiano na aliyezaa naye hayapo tena na sisy amekuwa single parent since 2007.
Huyu Bwana admirer aliposikia sisy amezaa na anaishi na mtu Ulaya naye akaamua kuoa though alikuwa bado anawasiliana na Dada kama friend wa kawaida ...kumsalimia na kumwuliza masomo yanaendeleaje n.k. Na hata sisy aliporudi huyu Bwana alimtafuta na kusalimiana naye kwa muda na wakawa wanatoka kama marafiki. Mpaka pale sisy anasema alipoona kama itawaharibia relationships zao walizo nazo so akaamua kumkatia ukaribu ikawa mkaka anajitahidi kusabahi kwa sms na simu tu.......kila akiomba kumwona sisy anachomoa kwa kutoa visingizio moja mbili.
Nadhani nimeeleweka angalau kidogo CPU?
Acha hizo wewe mwenzako analilia penzi unasema anazuga lol mwanaume hadi ametoa machozi ujue its for real
machozi mara nyingi ni ....crocodile tears na hata kama ni kweli do not make decisions based on emotional sympathy for that loser......................watu wa namna hii huishia kuwa katika crimes of passion.............................................because they harbor very low self esteemPHP:Leo jioni dada aliamua kumsikiza (kwa kuwa amekuwa akimsihi kwa muda wote huo) ........mkaka wa watu si akajielezea hisia kwa kilio yaani dada amekuwa shocked hajawahi ona mwanaume anatoa machozi na kuongea kwa uchungu namna hiyo (even after all those years). Amechanganyikiwa na anahisi kama maamuzi yake yanawezakuwa influence.............kanitaka ushauri. MwanajamiiOne mie nimebaki majicho yamentoka (na yalivyo makubwa basi natisha ka mjusi alobanwa na mlango)- Dada anaonekana kuanza kufall kwa huyu mkaka.....(mh hata sijui ni aje) Ninaomba msaada wenu Could this be true love from this man?? Mwanaume kulilia penzi na kulisotea kwa miaka yote hii does it have any meaning?
hahahaha!
Wengine 2shatolewa machozi na makamasi.
Wizi mtupu.
hahaha nyie watu mnawaza niwazayo mie lakini kumbukeni issue ya kulia hapa ni kivumishi tu ha si issue kubwa .....issue ni huo muda ambao hata mie ninaogopa kutoa ushauri!
...hayajali umri haya!
Kuna mtu hapa ambaye hajawahi kuwa na secret crush? imedumu miaka mingapi? Jiulizeni!
I had mine for 14yrs, siku nilipopewa Go ahead (I didnt touch!) ndio siku niliyopiga about turn.
It's not healthy.
Kama haunipendi jua haunipendi haiwezekani daily unanizinguaaa........siina raaahaaa sinaa raaaaahaaaaaaaaaaa EEEEEEEEEH!...naumia na mawazooooooooooooooo
Chauro mambo hope yale matatizo umeweza kukabiliana nayo.na siku mambo yakiwa murua nyumbani kwake anaweza kusahau kama ulishawahi kuwepo,mi simshauri aliamua kuoa akae huko na mkewe kama atakubali na gharama za nyumba ndogo azijue na awe tayari kuzibeba mwisho wa siku.:yawn:
EITHER WAY KAMA AMEPENDA, MWAMBIE A-GIVE IT A SHOT, YAWEZA KUWA PLATINUM KWENYE PLATE:nerd:
hahaha nyie watu mnawaza niwazayo mie lakini kumbukeni issue ya kulia hapa ni kivumishi tu ha si issue kubwa .....issue ni huo muda ambao hata mie ninaogopa kutoa ushauri!