Could this be it?....................

poa rafiki,nashukuru mlinisaidia sana lakini bado nina kazi maana dada simuoni kama anaelewa anachotaka yupo tu na hata mwanaume anamtaja tu jina mambo mengine kitendawili.

turudi kwenye topick dada asije akakasirika Finest



Chauro mambo hope yale matatizo umeweza kukabiliana nayo.
 

Aksante mpendwa
Naomba nikuwekee sawa....Hiyo miaka 13 ni kwamba huyu bwana amekuwa akimpenda sisy ..................ila hawakuwa na mahusiano (kwa lichonihakikishia mwenyewe!) ila tu the guy was there for her yaani alikuwa akisikia kuwa anaumwa the guy huyo hapo............ kaja kumjulia hali, akipatwa na msiba the guy huyo yaani they were friends (ingawa kaka alitaka more than that............

Ila nimekuelewa na nimependa ushauri wako kuwa since now ni mume wa mtu si vema kwa sisy kumfikiria pamoja na kuwa yeye ndo alianza kupendwa na muhusika.

Aksante sana umenibariki
 
MJ1,

Naamini kabisa hapo kuna true love ila ni too late. Wakijaribu kufanya jambo lolote watasababisha majeruhi wengi sana huko mbele. Kama wako tayari kwa hilo wanaweza kuendelea!
 

Aksante sana Yaani hili ndilo neno ambalo ningependa sisy alielewe maana ni kweli kabisa pamoja na yote yaliyotokea nadhani haikupangwa wawe wote so wasilazimishe hata kwa ufisadi


Mwj1 sijui sijaelewa kilichomliza huyo kaka au nimekusoma haraka haraka?...Anyway, ngoja nifike hapo nyumbani unielezee vizuri.

Mbu kaka yangu duniani kuna mambo......mi mwenyewe niliyatoa majicho hadi yanakaribia kudondoka. Mwe!! Ninaombeni likizo ya haya makitu wajameni


Alikuwa analilia nini ambacho hakuwahi kukipata for 13yrs? Damn!
He must be some new type of jerk!

Babu umeona eh? uwiii mie hata sielewi jamani
 


...ili iweje? amuoe mke wa pili?
Mwj1 kuwa muwazi kidogo. Mke wa pili sunna ati!
 
MJ1,

Naamini kabisa hapo kuna true love ila ni too late. Wakijaribu kufanya jambo lolote watasababisha majeruhi wengi sana huko mbele. Kama wako tayari kwa hilo wanaweza kuendelea!

DC inawezekana kabisa kuwa ni true love kutoka kwa mkaka but nadhani maamuzi yao ni vema yakaongozwa na maadilli zaidi ya hisia zao za mapenzi maana kwa kuna wakati flani - wakati sisy ameenda kusoma mkaka alishawahi kugombana na by then galfriend wake kisa mawasiliano yasiyokwisha na sisy......... kiasi cha yule jamaa kumjibu mchumbake kuwa anawish siku sisy amkubalie kwani penzi lake liko kwa sisy na si kwa galfriend wake......yule mdada alitaka kunywa sumu (according to maelezo ya dada alivyohadithiwa na mkaka!)!- mi sijui kama ilikuwa kweli au mbinu tu ya kuonyesha penzi kwa dada.

But whatever the reality............kwa sasa ni mume halali wa mtu na any alteration of this inawezasababisha madhara makubwa sana......
 
huyo mwanaume tayari ni mume wa mtu kama nimekupata vizuri..mwambie dada yako aendelee na maisha yake..!
 
Nimegundua kitu kwenye hii mada. Watu hawaheshimu kabisa ndoa! Inatisha sana aisee. Nawasikitikia wote mlio kwenye ndoa.

Ni kweli ila haya mambo ni very personal na ni magumu sana. Si kwamba watu hawauji kuwa ni vibaya kuchezea ndoa, bali wanajua saaana tena. Hata hivyo wanaendelea tena sana. Nadhani ni kama madaktari wanaovuta sigara huku wakijua kuwa wanaweza kupoteza maisha!
 
...ili iweje? amuoe mke wa pili?
Mwj1 kuwa muwazi kidogo. Mke wa pili sunna ati!

................. Hahahah mbu hapana nilimaanisha kipindi hicho mkaka hajaoa walikuwa just friends ingawa mkaka alitaka more than that na dada ............hajanipa sababu ya kwa nini hakuwezaafikiana naye kipindi kile!!
 

Ni kweli kabisa ila hilo litategemea kama watakuwa tayari kuukubali ukweli kuwa maji yalishamwagika. Wakijifanya vichwa ngumu watajikuta katika uzinzi ambao wao wataona ni mapenzi matamu saaaaaaaaaana wakati huo wanajichongea majeneza!
 

Kwa kifupi ni kwamba hakuna maadili kwenye jamii. Mzee pole kama uko kwenye ndoa.
 
kwa hiyo ni kama huyu kaka alioaga tu ilimradi kuziba gap coz ampendae alikuwa mbali nae kwa wakati huo(ulaya)...cjui kama Mj1 nimekupata vzr ndio mana nilikuwa nasita kuchangia.
 
................. Hahahah mbu hapana nilimaanisha kipindi hicho mkaka hajaoa walikuwa just friends ingawa mkaka alitaka more than that na dada ............hajanipa sababu ya kwa nini hakuwezaafikiana naye kipindi kile!!

hapana Mwj1, huko tulishapita nikakuelewa vizuri tu.
Nazungumzia kilio cha jana huko faraghani...


Leo jioni dada aliamua kumsikiza (kwa kuwa amekuwa akimsihi kwa muda wote huo) ........mkaka wa watu si akajielezea hisia kwa kilio yaani dada amekuwa shocked hajawahi ona mwanaume anatoa machozi na kuongea kwa uchungu namna hiyo
Huyu kaka anataka iweje?...haiwezekani mtu mzima alie tu bila kusema alilo nalo moyoni.
Anakusudia kumuoa, au wawe wanaibia penzi tu?
 
Kwa kifupi ni kwamba hakuna maadili kwenye jamii. Mzee pole kama uko kwenye ndoa.

Ahsante mzee,

Nipo sana tena zaidi ya muongo mmoja. Ukienda kwa wenye chongo....! Sioni shida kwa sababu wote tuko kwenye sweemming pool moja. Anayeniibia mimi leo labda wakati huo au kesho anaibiwa. Tatizo kubwa ni kwamba sijawahi kumwibia mtu.

Labda siku moja na mimi nitajifanya kijizi kidogo dogo!

Mzee DC
 
mmh!!hilo waswahili wanasema ni 'CHANGA LA MACHO'
jamaa anataka kuprove a point so lazima atoe mchozi ili apate anachotaka
kwanza kamsumbua for 13 yrs so interest imeshachuja ..may be anataka tu kupitia afu ampgige booty
mwambie sis asibabaike na michozi utapeli mtupu no love there ni matamanio tu
hapo atakuwa kamvisualize mnoo itakavyokuwa, uchu huo..lol ..kama namuona huyo jibaba vile
 

Mbu.........kwa maelezo ya Dada ni kuwa walishawahi kutoka mara nyingi tu......lakini hawajawahi kugusana. Sasa hapa siwezithibitisha kama ni kweli au la ingawa nahisi kama kuna ya ziada vile!!....
 

Heheheheeee ni bora ukae tu hivyo hivyo bila kujua kuwa unaibiwa. Lakini jua kuwa uwezekano wa kuibiwa upo tena mkubwa tu maana uaminifu wa mtu kwenye ndoa au mahusiano ni siri yake moyoni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…