Could this be it?....................

Could this be it?....................

...haya sasa! hii nayo ndio nini?

hahaha Mbu yaani nakwambia sie wapendwaji na wapendaji ndo wenye matatizo afu tunasingizia mapenzi.............sasa kama huyu ndoo kafanya nini sasa? Loh inanifanya niamini ule usemi wa kitaani kuwa mwanaume mzuri ni yule aliye-occupied!! Eti wanawake wana tabia ya kupenda mwanaume ambaye tayari ana mwanamke than yule aliye single kabisa......sijui tunaona raha kucompete?! ah
 
imagine dada alimwahidi 'kaka' kuwa akiwa karibu naye atapewa. 'kaka' akajitoa mhanga, akawa karibu na 'dada' kwa shida na raha akitumaini iko siku atapewa. Siku zikawa zaenda, kaka akifaya mahesabu ya 'huduma' alizotoa zinafit exponential equation. Kwa nini asilie?

Kuna scenario kibao za kumfanya kaka alie. Let us judge him not.

Hadithi inaonyesha kuwa dada hakuwa na mpango na kaka toka walipokutana (8 years back). Kaka kwa vile anapenda akaamua kuwa ruba. Dada kwa vile alikuwa single parent akachukua advantage. Sasa ndio hapo, anawaza atatoaje tunda kwa mtu asiyempenda, mume wa mtu?.....

FA........hilo ni sahihi kabisa na nadhani ndio maana sisy anashindwa kusema kwa nini alimkatalia hiyo miaka 8 iliyopita. Ingawa nashindwa pia kujua why now atake kukubali? Je penzi huwa linaota kutokana na muda au????
 
call it true love or not, the timing is too late to have it work, unless we brand it "kick and run" or "taste it and leave it", The far I can see is complication and not satisfaction.

hehehe huo mjamaa una roho ngumu kweli yaani unalia laiv, halaf uskute pengine ulikuwa hauna hata machozi umejipaka ma viksi ya mchina machoni ili utoke machozi ya kizushi ulambe mzigo. hehehehe watu wajanja bana.

Inanikumbusha jamaa mmoja ni rafiki yangu nilikua na kusoma nae. Moja kati ya gia zake kuwaangukia wanawake ilikuwa ni kulia. Yani yeye kulia ni igizo analolipenda na hakukosa alichokitaka kwa kulia na alikiri kuwa anajifanyishaga..

Hivyo basi ukiacha kilio cha jamaa wa hii thread, si vyema kuendeleza uhusiano na mume wa mtu. Mwanajamii1 ungekuwa mtu wa kwanza kumshauri huyo dada yako mpendwa kuwa huyo kaka ana ndoa yake..Hata hivyo bado una nafasi hiyo unless anataka kumuoa dada yako kuwa mke wa pili kama ni wa dini hiyo inayoruhusu.
 
imagine dada alimwahidi 'kaka' kuwa akiwa karibu naye atapewa. 'kaka' akajitoa mhanga, akawa karibu na 'dada' kwa shida na raha akitumaini iko siku atapewa. Siku zikawa zaenda, kaka akifaya mahesabu ya 'huduma' alizotoa zinafit exponential equation. Kwa nini asilie?

Kuna scenario kibao za kumfanya kaka alie. Let us judge him not.

Hadithi inaonyesha kuwa dada hakuwa na mpango na kaka toka walipokutana (8 years back). Kaka kwa vile anapenda akaamua kuwa ruba. Dada kwa vile alikuwa single parent akachukua advantage. Sasa ndio hapo, anawaza atatoaje tunda kwa mtu asiyempenda, mume wa mtu?.....

...ah ahha hhaa! hakuna! hata mimi ningelia (uchungu)
huwezi jua jamaa alikuwa amejiandaa kiasi gani siku hiyo (pamoja na kuwa ameoa!)
Mwj1 alishasema jamaa hajawahi pewa nafasi ya u faragha wawili peke yao.

ha ha ha, FA ushawahi kumfanyia mtu nini? ulivyoielezea mnh? ha ha ha!
 
Inanikumbusha jamaa mmoja ni rafiki yangu nilikua na kusoma nae. Moja kati ya gia zake kuwaangukia wanawake ilikuwa ni kulia. Yani yeye kulia ni igizo analolipenda na hakukosa alichokitaka kwa kulia na alikiri kuwa anajifanyishaga..

Hivyo basi ukiacha kilio cha jamaa wa hii thread, si vyema kuendeleza uhusiano na mume wa mtu. Mwanajamii1 ungekuwa mtu wa kwanza kumshauri huyo dada yako mpendwa kuwa huyo kaka ana ndoa yake..Hata hivyo bado una nafasi hiyo unless anataka kumuoa dada yako kuwa mke wa pili kama ni wa dini hiyo inayoruhusu.

mnh! BJ watu na fani zao...ngoja nianze ku practice hili zoezi siku moja nimtokee mtu! ...LOL
 
Mbu...huku ndani tunayaona/yackia mengi mengi jamani, mie nshakomaa cku hizi.
yaani dada .......acha tu. ndoa ni so complicated na ndio maana siku zote nasema kupenda, uaminifu na respect.....ni vitu ambavyo huwezimsemea mtu. Wewe kama unampenda mtu au u mwaminifu kwake huo ni ukweli unaoujua peke yako na mwenzi wako hawezi katu atauthibitisha na the same kwa mwenzio......so majigambo ya kuwa ....ananipenda kweli... simply because amekununulia gari, amekujengea nyumba au amekulilia haitoshi kukuhakikishia kuwa ni kweli anakupenda.

Natamani wote tujifunze hili.
 
mnh! BJ watu na fani zao...ngoja nianze ku practice hili zoezi siku moja nimtokee mtu! ...LOL
Loh Mbu labda kama utaijaribia kwa wa nje.................sie hapa wote mshatujuza so hatudanganyiki tena!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
yaani dada .......acha tu. ndoa ni so complicated na ndio maana siku zote nasema kupenda, uaminifu na respect.....ni vitu ambavyo huwezimsemea mtu. Wewe kama unampenda mtu au u mwaminifu kwake huo ni ukweli unaoujua peke yako na mwenzi wako hawezi katu atauthibitisha na the same kwa mwenzio......so majigambo ya kuwa ....ananipenda kweli... simply because amekununulia gari, amekujengea nyumba au amekulilia haitoshi kukuhakikishia kuwa ni kweli anakupenda.

Natamani wote tujifunze hili.

unadhani hatujui bac....sema tuna hulka ya kujitoa ufahamu.
 
yaani dada .......acha tu. ndoa ni so complicated na ndio maana siku zote nasema kupenda, uaminifu na respect.....ni vitu ambavyo huwezimsemea mtu. Wewe kama unampenda mtu au u mwaminifu kwake huo ni ukweli unaoujua peke yako na mwenzi wako hawezi katu atauthibitisha na the same kwa mwenzio......so majigambo ya kuwa ....ananipenda kweli... simply because amekununulia gari, amekujengea nyumba au amekulilia haitoshi kukuhakikishia kuwa ni kweli anakupenda.

Natamani wote tujifunze hili.

Kuna ukweli mwingi sana hapo......
 
Aksante Babu wa Busara................... ni kweli usemayo. Jamani naombeni nipumzike na hii sredi kama kuna jipya ntawajulisha but nashukuru sana nitakachokifanya ni kusamaraizi haya mloniambia hapa kisha nimjulishe (Ikiwezekana nitamprintia ajue kabisa sio wivu wala nini.

Mi nina mashaka kama atasikiliza ushauri wako.......labda umuunge mkono.....
 
Acha kabisa hii kitu dada MJI kama mioyo ingekuwa inafunguliwa watu wanasoma yaliyomo watu wengine wangeshauana.

yaani dada .......acha tu. ndoa ni so complicated na ndio maana siku zote nasema kupenda, uaminifu na respect.....ni vitu ambavyo huwezimsemea mtu. Wewe kama unampenda mtu au u mwaminifu kwake huo ni ukweli unaoujua peke yako na mwenzi wako hawezi katu atauthibitisha na the same kwa mwenzio......so majigambo ya kuwa ....ananipenda kweli... simply because amekununulia gari, amekujengea nyumba au amekulilia haitoshi kukuhakikishia kuwa ni kweli anakupenda.

Natamani wote tujifunze hili.
 
Loh Mbu labda kama utaijaribia kwa wa nje.................sie hapa wote mshatujuza so hatudanganyiki tena!!

obama.jpg

...mnnnnnnnn?? mwj1 Vibaya hivyo! hujasikia wewe " 'mtoto' akililia wembe mpe?"
 
yaani dada .......acha tu. ndoa ni so complicated na ndio maana siku zote nasema kupenda, uaminifu na respect.....ni vitu ambavyo huwezimsemea mtu. Wewe kama unampenda mtu au u mwaminifu kwake huo ni ukweli unaoujua peke yako na mwenzi wako hawezi katu atauthibitisha na the same kwa mwenzio......so majigambo ya kuwa ....ananipenda kweli... simply because amekununulia gari, amekujengea nyumba au amekulilia haitoshi kukuhakikishia kuwa ni kweli anakupenda.

Natamani wote tujifunze hili.

Nadhani mti wowote utaujua kwa matunda yake..
ni kwa sababu tu wengi wanapokuwa kwenye mapenzi wanakuwa kama vipofu, lakini tabia za watu huwa zinaonekana wazi kabisa.
Pia watu hawataki kutenga muda kujua tabia za mtu anayehisi anampenda.
Nafikiri uaminifu au heshima ni qualities zinazotakiwa kuwa demonstrated kwa nje ili watu wazione, na sio ukae nazo wewe peke yako.
 
Acha kabisa hii kitu dada MJI kama mioyo ingekuwa inafunguliwa watu wanasoma yaliyomo watu wengine wangeshauana.
Chauro hebu tenea mate chini maana kama huwa kuna kubbatani MUNGU alikibofya ili tusiwezeisoma mioyo ya wenzi wetu basi tuombe kisijefyatuka...................yaani ni kweli kabisa kuna wanaolala kitanda kimoja na wenzi wao, wanado na kudo lakini moyoni anajuta na kuombea afe ili awe huru! Jamani chauro hata sijui umewaza nini we binti..............I whish....................
 
Mwanajamii One inawezekana kabisa...hii ya dada kuzaa na mwingine na jamaa kuoa ni ajali tu ya kimapenzi but moyo ya kupenda wacha kabisa,hakuna kushauri hapa ni kukaa nje na kusoma mchezo utaona picha itakavyojibu yenyewe
 
Nadhani mti wowote utaujua kwa matunda yake..
ni kwa sababu tu wengi wanapokuwa kwenye mapenzi wanakuwa kama vipofu, lakini tabia za watu huwa zinaonekana wazi kabisa.
Pia watu hawataki kutenga muda kujua tabia za mtu anayehisi anampenda.
Nafikiri uaminifu au heshima ni qualities zinazotakiwa kuwa demonstrated kwa nje ili watu wazione, na sio ukae nazo wewe peke yako.
Ni kweli mpendwa ila ninachomaanisha hapa ni kuwa matendo pekee hayadhihirishi upendo au uaminifu...........bali yanakusaidia kukupa tulizo la moyo kwa kuamini kuwa unapendwa na mwenzio ni mwaminifu kwako but ukweli wa hayo unabaki kwa muhusika.

Wapo walioletewa maiti za wenzi wao waliofumaniwa au kufa wakiwa uzinzini na bado wakabisha wakisema hapana alikuwa mwaminifu sana kwangu................
 
...99.9% jibu litakuwa hilo. Anyway Mwj1, mimi nadhani kwa kesi hii (ili usijiumize akili,) achana nao bana. Mwambie dada'ko akili kichwani, kuna mengi usiyoyajua ambayo kwa miaka mingi walikuficha. Why now ndio waanze kukutwisha mzigo wa ushauri? ili kesho keshokutwa yakitokea ya kutokea wakuhusishe nawewe.

Mtego huo, jitoe!...kaa nao mbali.

Huo ndo ushauri wa maana. Huwezi kumshauri mtu ambaye keshakalishwa chini na kuliliwa akakusikiliza. Labda wewe uwe unaweza kulia zaidi!!

Too late....Hawa jamaa wataamua kama akili zao zitakavyowatuma.
 
Chauro hebu tenea mate chini maana kama huwa kuna kubbatani MUNGU alikibofya ili tusiwezeisoma mioyo ya wenzi wetu basi tuombe kisijefyatuka...................yaani ni kweli kabisa kuna wanaolala kitanda kimoja na wenzi wao, wanado na kudo lakini moyoni anajuta na kuombea afe ili awe huru! Jamani chauro hata sijui umewaza nini we binti..............I whish....................

Mmh Ikifikia hapo hatari
 
Back
Top Bottom