Counselling ya nguvu inahitajika - hakuna utani jamani.

Counselling ya nguvu inahitajika - hakuna utani jamani.

Mimi ninavyo fikiri huyo mwanamume anajua akisha zaa tu na huyo binti wazazi wake wataondoa vikwazo ili alee mwanae na kwa upande wa binti wamruhusu ili nae akalee mwanae pia.nimesha shuhudia matuo hayo marakadhaa wazazi wanasusa kwenda kwa watoto wao kisa nikutokubali kuoa au kuolewa na mtu fulani lakini pakipatikana mtoto au tatizo fulani wazazi huwa karibu kusaidia kuna kamsemo wansema "mzazi ha uwi".nawakilisha.
 
mmh no i dont buy this. sasa hudhani kama hiyo ni blackmail, why would you trade your dignity for that? mi namwambia asidanganyike!
 
...Kwa vile tunapendana kupita kiasi, mwenzangu anataka nimzalie angalau mtoto mmoja kama kumbukumbu ya penzi letu.Mimi nina wasiwasi kwa vile najua fika hakuna uwezekano wa kuoana na huyu mkaka.Isitoshe sitataka kubeba jukumu la kulea peke yangu hata kama nitaingia gharama za kumlea mwanangu.Huyo mkaka anasisitiza kuwa atafurahi sana kama nitamzalia na atamkubali mtoto na kuwajibika ipasavyo.Hili kwa kweli linanipa tumaini lakini bado nina wasiwasi.
Naomba ushauri, Nimkubalie? Nitahakikishaje hatabadili mawazo mbele ya safari"
Sister L.

..duh, sijachelewa lakini?

Anyway,...ushauri wangu kwa mwanadada huyu ni kufanya lile moyo wake unataka, aachane na mawazo yake yanavyomtia shaka...

Mtoto sio zawadi ya Christmas kusema eti akishamzalia basi furaha yake imekamilika. Kuna ulezi wa mimba, machungu ya kujifungua, kulea mwana mpaka apate uwezo wa kutembea, kusema na kujitegemea mwenyewe...

Mtoto is for life!

Kumkubalia au kumkatalia inatokana na uwezo binafsi wa mhusika wa sakata hili kupima ukweli, uadilifu na mapenzi ya huyo bwana. Akumbuke pia kwenye jamii zetu hizi za kiafrika, CV yake itakuwa imeingia doa kuonekana amezalishwa nje ya ndoa na hivyo kupelekea hata suitable suitors kuingia kwa tahadhari kwenye ndoa naye,

Binafsi simshauri kufanya jambo hilo,... kama imeshindikana kuwashawishi wazazi wa pande zote mbili, haina haja kujamtia majaribuni buree malaika huyo atayezaliwa.
 
Mimi ninavyo fikiri huyo mwanamume anajua akisha zaa tu na huyo binti wazazi wake wataondoa vikwazo ili alee mwanae na kwa upande wa binti wamruhusu ili nae akalee mwanae pia.nimesha shuhudia matuo hayo marakadhaa wazazi wanasusa kwenda kwa watoto wao kisa nikutokubali kuoa au kuolewa na mtu fulani lakini pakipatikana mtoto au tatizo fulani wazazi huwa karibu kusaidia kuna kamsemo wansema "mzazi ha uwi".nawakilisha.

unaweza kuzaa na usikubalike pia
hapo waangalie msimamo wa penzi lao uko vip na kufanya maamuzi yao binafsi pasipo kuangalia mtu
kwangu mie kuachika sio solution
Kina JLO ,Julia Roberts ,Anjelina Jolie wameachika more than 1,2,3...... mpaka wakajapata ile mupenzi wa kuoa na kuishi nae ,, hivi ulaya hakuna matatizo kama haya jamani ??
 
unajua kuna kitu used ambacho mtumiaji hakujulikana. Lakini hili la used na mtu rasmi! Lol! Tena unaweza kuta alikuwa used for more than ten years.

Hiyo red hiyo: Biblia inasema mwanamke mpumbavu ataivunja nyumba/ndoa yake mwenyewe.

siku hizi watu wote used tena bora waliokuwa kwenye ndoa wapo used by one hand,waliopo nje ndo hata nineth hand hawatoshi, so wazazi na huyo kijana(mume) hawana msimamo,kama sababu ya kuachika labda tungeijua pia isingekuwa shida may be demu anamatusi au anawashwa mda wote etc!
 
VC kwani hao wapenzi wana umri gani? wazazi wao ni makabila na dini moja? hao wazazi wako ndani ya ndoa? Huyo aliyeachana na mwenza... Mwenza yuko wapi? Au tayari keshavuta?

Je wao unaweza kuwaweka kwenye kundi lipi la kijamii kimapato? wastani, maskini au poa?

Halafu ndio ntakupa mawazo yangu

MTM
NITAJITAHIDI kujibu kadri nifahamuvyo:
1.hao wapenzi wana umri gani? umri wa kati ILA SIJUI HASA si unajua tena huwezi kudodosa sana umri wa watu

2.wazazi wao ni makabila na dini moja? hapana makabila na dini tofauti

3.hao wazazi wako ndani ya ndoa? ndio

4.Huyo aliyeachana na mwenza... Mwenza yuko wapi? yupo yupo

5.Au tayari keshavuta? sijui kama keshavuta

6.Je wao unaweza kuwaweka kwenye kundi lipi la kijamii kimapato? wko poa sana uchache siyo ishu kabisa.
MTM ..haya maswali mbona mengi mno??
 
lakini angependa kuolewa na mwanaume mwingine mf akimpata wa kumpenda kwa dhati? kama ndio basi acmzalie kabisa, kwanini umzalie mwanaume ambae tayari familia zimeingilia kati mambo, anaweza kuja badilika kutokana na shinikizo la ndugu zake na umeshajua kabisa hawakutaki, sasa kama hawakutaki na wewe umejua hilo kwanini umzalie? na wakimkana na mtoto na wakashinikiza na ndugu yao wacmtambue mtoto huo mzigo utaubeba mwenyewe....UCZAE NA HUYO MKAKA... hakuna mapenzi ya hivyo na kama huyo kaka angekuwa anakupenda kama unavyodhani angekuoa tu na kuielewesha familia yake kwamba wewe ndio chaguo la moyo wako lakini hajafanya hivyo.

Nitamfikishia ujumbe Nyamayao...asante on behalf of muuliza ushauri
 
Asijisumbue kuzaa na huyo jamaa, yeye kama kasikiliza ndugu basi tena na wewe muache.

Hiyo kumbukumbu anayotaka ya mtoto we usikubali, kwani wewe jumba la makumbusho? Ndoa yako ya kwanza labda ulizaa, na hapa nako uzae halafu asiendelee na wewe itakuwa malezi gani hayo ya watoto?Raha ya mtoto kupata malezi ya wazazi wote wawili.

Tulia mwaya utakuja pata mume bora.
 
Ama kweli JF ni kisima cha maarifa na hekima ya kutisha!
Wachangiaji wote mnatisha... nitamkusanyia maushauri yote mtakayotoa--akachambue mwenyewe kipi kitamfaa zaidi.Niliona nikimshauri mimi mwenyewe haitakuwa sawa ilhali kuna resource center JF!
Jamani endeleeni kumwaga vitu vya nguvu.
NATANGULIZA SHUKRANI ZA AWALI KWA KILA ALIYECHANGIA NA ATAKAYE CHANGIA.
 
MTM
NITAJITAHIDI kujibu kadri nifahamuvyo:
1.hao wapenzi wana umri gani? umri wa kati ILA SIJUI HASA si unajua tena huwezi kudodosa sana umri wa watu

2.wazazi wao ni makabila na dini moja? hapana makabila na dini tofauti

3.hao wazazi wako ndani ya ndoa? ndio

4.Huyo aliyeachana na mwenza... Mwenza yuko wapi? yupo yupo

5.Au tayari keshavuta? sijui kama keshavuta

6.Je wao unaweza kuwaweka kwenye kundi lipi la kijamii kimapato? wko poa sana uchache siyo ishu kabisa.
MTM ..haya maswali mbona mengi mno??

VC yoote niliyouliza ni kama ingredients za a good salad au menu kwa wageni maalum

I am touched by this than you can ever imagine beucase nimeyaona hayo kwa jamaa wangu wa karibu... yeye alioa na kuvunja hayo matabaka tawala na hadi leo [over 10yrs] ndio pekee aliyebakia wa msaada huko kwao

Najivuta nisije weka mambo too personal humu kwenye carpet!!! Wanasema ulaya na bongo practice yao ni tofauti
 
Wewe hakuna cha kupendana na kuzaa nje ya ndoa?? subiri atakuja mtu serious mwanaume ambaye haendeshwi na ndugu ila akili yake..aliyekua utaolewa...after all uliwahi kuachika unaonyesha kama unaharaka hivi ya kuolewa...vumilia ni ushauri wangu...huyo jamaa hajakua huyo kama amekupenda what is ndugu bana? lazima aweze ku-wa-convice wazee wake kwa mtu unayempenda..kama hilo nashindwa naona ana matatizo atakusumbua bure..subiri usidanganyike..
 
"Kwako Mpendwa baba/mama ushauri,
Pole kwa majukumu ya ujenzi wa taifa.Naomba ushauri kuhusu haya yafuatayo.Niko katika uhusiano imara kwa muda sasa.Sote hatujapanga kuoana ila tunapendana sana.Sijataka kuolewa kwa vile kuna kikwazo .Ndugu wa pande zote wamekataa katakata kuturuhusu kuoana.Sisi tumeona haina haja kubisha wala kuharibu mahusiano ya kifamilia kwa vile ndoa siyo ya mtu mmoja bali ya familia zote mbili.

Kwa vile tunapendana kupita kiasi, mwenzangu anataka nimzalie angalau mtoto mmoja kama kumbukumbu ya penzi letu.Mimi nina wasiwasi kwa vile najua fika hakuna uwezekano wa kuoana na huyu mkaka.Isitoshe sitataka kubeba jukumu la kulea peke yangu hata kama nitaingia gharama za kumlea mwanangu.Huyo mkaka anasisitiza kuwa atafurahi sana kama nitamzalia na atamkubali mtoto na kuwajibika ipasavyo.Hili kwa kweli linanipa tumaini lakini bado nina wasiwasi.
Naomba ushauri, Nimkubalie? Nitahakikishaje hatabadili mawazo mbele ya safari"
Sister L.

Jamani wale magwiji wa counselling Mbu, Nyamayao, MTM, BAK, MJ1, Za10, Agika, Msindima, FL, Shangazi, Pretty, na wengineo.....hebu msaidieni huyu mwana dada.

VC, nimeona ndoa nyingi sana ambazo Wazazi na ndugu za upande mmoja wa muhusika wa wapendanao au pande zote mbili ambazo hazikutaka kabisa wahusika waone kwa sababu moja au nyingine ambazo mara nyingi huwa si za msingi. Na ndoa nyingi kati ya hizo zilishamiri/zinashamiri na kudumu kwa miaka mingi.

Kikwazo kulichokuwepo cha huyo dada kuwa ameachika katika ndoa yake ya kwanza kwa maoni yangu si kikubwa kabisa na wala kisitiliwe maanani na muoaji kama kweli wanapendana na kiasi hicho.

Katika moja ya vitu hapa duniani vinavyotupa raha sana wanadamu hapa duniani ni kupendwa na kupenda. Ukijua unapendwa kwa dhati na yule unayempenda kupita kiasi basi siku zote huwa na raha kubwa ndani ya roho.

Hivyo basi mimi naona wazibe tu masikio yao ili wakamilishe mapenzi yao ya dhati kwa kuamua kufunga ndoa. Katika ndoa yao Mwenyezi Mungu atawajalia watoto labda zaidi ya mmoja kama anavyotaka njemba kama umri wa dada unaruhusu hilo.

Kuna raha kubwa ya kupendwa kwa dhati na yule umpendaye kwa moyo wako wote.

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=aUb_3Ynz_tk"]http://www.youtube.com/watch?v=aUb_3Ynz_tk[/ame]
 
Jamani hivi wewe dada umesahau kuwa kuzaa bila ya kuelewa au nje ya ndoa ni haramu, sio vizuri kabisa ndio maana watu wengi hawapendi kuzaa nje ya ndoa kwa kuwa huyo mtoto hatakua na mapenzi ya pande zote mbili. Hebu muonee hururma huyo mtoto maana inawezekana akaenda kuishi na mama wa kambo ambaye ataolewa na huyo uliyezaa nae, je unafikiri atapewa matunzo bora kama vile wewe unavyotaka? Angali watoto wa nje ya ndoa wengi ndio hao ambao wanaomba omba huko mabara barani, hwana uhakika wa maisha na mara nyingi wamekua wakitengwa na kutopata mahitaji yao muhimu kama elimu, afya, mavazi, chakula nk. Na pia ndio chanzo tena cha yeye kuwa jambazi, malaya, watumiaji wa mihadarati, walevi n.k.

Habu tunafikiri hata dini zinavyosisitiza tuzae ndai ya ndoa walikosea? Jamani waliona mbali, chako utakipenda tofauti na cha mwenzio. Kumbuka sisi binadamu tumeumbwa kwa kuwa na ubinfsi, hii ni nature yetu (selfish) ndio maana mtu atakipenda kitu chake kuliko cha mwenzie. Kwa hiyo usijidanganye kama huyo mke wa jamaa atakuja mpenda huyo mwanao, kwanza ndioa atamchukia kwa sababu atajua akifa jamaa naye atarithi mali na pia hatapata matunzo bora na elimu nzuri

Tafakari na Chukua hatua. make sure that you make good decision ili usiumie hapo baadae na kumbuka pia majuto ni mjukuu
 
Aiseee!
Huyu ni yule yule Gudboy wa ishu ya Iringa na dada wa rafiki yake?
Yaani una busara kupitiliza.Asante sana.Ujumbe huu umefika.
 
Katika moja ya vitu hapa duniani vinavyotupa raha sana wanadamu hapa duniani ni kupendwa na kupenda. Ukijua unapendwa kwa dhati na yule unayempenda kupita kiasi basi siku zote huwa na raha kubwa ndani ya roho.

Hivyo basi mimi naona wazibe tu masikio yao ili wakamilishe mapenzi yao ya dhati kwa kuamua kufunga ndoa. Katika ndoa yao Mwenyezi Mungu atawajalia watoto labda zaidi ya mmoja kama anavyotaka njemba kama umri wa dada unaruhusu hilo.

Kuna raha kubwa ya kupendwa kwa dhati na yule umpendaye kwa moyo wako wote.

[URL="http://www.youtube.com/watch?v=aUb_3Ynz_tk"]http://www.youtube.com/watch?v=aUb_3Ynz_tk[/URL]

Mkuu BAK,
Asante kwa maneno mazito sana haya.Ujumbe umefika kabisa.
 
Dada hebu eleza sababu ni nini hasa. Inawezekana wana sababu ya msingi au hawana sababu ya msingi. Eleza kwanza, sababu ni nini... Tutatoa ushauri..
 
Dada hebu eleza sababu ni nini hasa. Inawezekana wana sababu ya msingi au hawana sababu ya msingi. Eleza kwanza, sababu ni nini... Tutatoa ushauri..
Mkuu,
Hili swali lako lilishaulizwa mara kadhaa na nikajibu mara kadhaa...
Hebu pitia tena mabandiko yaliyotangulia.
Asante sana.
 
Vera huyu binti anaweza kunisubili 2012?

Nitamfikishia ujumbe... ila ataniluliza 2012 kulikoni? Nimpe jibu gani?
Au ndio mpango wako wa miaka 3 ( 2009-2012) katika mapenzi utakuwa umefikia tamati na hivyo utakuwa una mpango mpya?
 
Nitamfikishia ujumbe... ila ataniluliza 2012 kulikoni? Nimpe jibu gani?
Au ndio mpango wako wa miaka 3 ( 2009-2012) katika mapenzi utakuwa umefikia tamati na hivyo utakuwa una mpango mpya?

Unajua nipo katika kampeni nzito ya kumtafuta mtu kisha nimjenge kwa kipindi hiki then 2012 awe ananipikia na kupakua tu si unajua ni malengo tu niliyo jiwekea ifikapo 2012 na mm naaga ukapera.
 
Back
Top Bottom