Country boy adai mkataba wake alio uingia Konde Gang ulikuwa unamruhusu kutoa nyimbo 2 kwa mwaka

Country boy adai mkataba wake alio uingia Konde Gang ulikuwa unamruhusu kutoa nyimbo 2 kwa mwaka

kamba0719

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2018
Posts
804
Reaction score
1,906
Aliyekuwa msanii wa Konde Gang ,Country boy wakati akihojiwa na Millard Ayo, Anadai mkataba wake ulikuwa unamruhusu kuachia nyimbo mbili tu kwa mwaka.

Naona anaanza kutoa siri za kambi polepole, juzi kadai kapokonywa gari, leo tena anadai mkataba ulikuwa unambana kutoa nyimbo.

Koh koh koh koh ........... jeshiii
 
[emoji16][emoji16]
 
Nakumbuka Harmonize moja ya kilio chake kikubwa pale WCB alisema alikuwa anaruhusiwa kutoa nyimbo mbili kwa mwaka. Mbona na yeye ameenda kuwafanyia wenzie yale yale 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
12 na 2 ni sawa?
 
Harmonize alifanya interview pale airport nakusema alikuwa anabanwa pale Wasafi imekuaje yeye anamsainisha mkataba msanii wa kufanya ngoma mbili kwa mwaka wakati yeye anatoa ngoma kila mwezi? Ni hii nimeona kwanini Wasafi hawakumjibu waliamini muda utaongea
 
Nakumbuka Harmonize moja ya kilio chake kikubwa pale WCB alisema alikuwa anaruhusiwa kutoa nyimbo mbili kwa mwaka. Mbona na yeye ameenda kuwafanyia wenzie yale yale 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
What goes around comes around
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Yaani hiki kimtoa mada kinatafutaga mambo negative basi ya watu..

Hii ndio dhana ya uchawi
Dogo lile la sinza Hziyech22 litakuwa limewakoti wote hapa tayari
 
Yaani hiki kimtoa mada kinatafutaga mambo negative basi ya watu..

Hii ndio dhana ya uchawi
Dogo lile la sinza Hziyech22 litakuwa limewakoti wote hapa tayari
Kwa hiyo wewe inakuuma Harmo akiongelewa vibaya? Yaani unaumia......... eti.

Sasa niliye muongelea -ve mimi au Country halafu hii habari ipo public so ina maana Millard Ayo naye alikuwa anatafuta mambo negative ya Harmoze?

Kwa hiyo hapo hulipo mooyo unakuuma na kukufurukuta kisa nimeleta habari -ve ya Harmonize?
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Back
Top Bottom