Country boy adai mkataba wake alio uingia Konde Gang ulikuwa unamruhusu kutoa nyimbo 2 kwa mwaka

Country boy adai mkataba wake alio uingia Konde Gang ulikuwa unamruhusu kutoa nyimbo 2 kwa mwaka

Yaani hiki kimtoa mada kinatafutaga mambo negative basi ya watu..

Hii ndio dhana ya uchawi
Dogo lile la sinza Hziyech22 litakuwa limewakoti wote hapa tayari
Mwamba ndio umefura kiasi hicho utadhani umechapiwa tunda lako au ndio wewe ni harmonize mwenyewe
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Kwa hiyo wewe inakuuma Harmo akiongelewa vibaya? Yaani unaumia......... eti.

Sasa niliye muongelea -ve mimi au Country halafu hii habari ipo public so ina maana Millard Ayo naye alikuwa anatafuta mambo negative ya Harmoze?

Kwa hiyo hapo hulipo mooyo unakuuma na kukufurukuta kisa nimeleta habari -ve ya Harmonize?
Maswali mengi sijasoma hata moja..
 
Aliyekuwa msanii wa Konde Gang ,Country boy wakati akihojiwa na Millard Ayo, Anadai mkataba wake ulikuwa unamruhusu kuachia nyimbo mbili tu kwa mwaka.

Naona anaanza kutoa siri za kambi polepole, juzi kadai kapokonywa gari, leo tena anadai mkataba ulikuwa unambana kutoa nyimbo.

Koh koh koh koh ........... jeshiii

Kwani wakat anasaini hakuona
 
Kwakifupi tangu interview ya Konde boy alipomwaga ukwel kuhusu uhalisia wa Diamond na roho mbaya alizokuwa anafanyiwa , humu ndani kumetulia sanaaaaa...woote wadau wa wcb ni kama wameloweshwa maji
 
Ndiyo kama upimbi alofanya Harmo baadaye anakuja kulialia Airport, mara ooh 40% mara ooh nyimbo mbili kwa mwaka.
Very stupid, kumbe naye anafanya hayo havyo kwa wenzake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama uliskiliza ile interview vizur bas utakua unajua kuwa harmonize hakua na shida na 40% ila wcb hasa diamond walikua na chuki na kutishwa kwa uwezo wa Harmonize...
 
Kama uliskiliza ile interview vizur bas utakua unajua kuwa harmonize hakua na shida na 40% ila wcb hasa diamond walikua na chuki na kutishwa kwa uwezo wa Harmonize...
Nina akili timamu and I know what I heard na pia najua kipi alichokuwa akipigania kuaminisha watu(if you can read between the lines then you know what I mean)
Yoyote mwenye uwezo wa kupambanua mambo hawezi kumezeshwa maneno bila ya kutafakari, kuna maneno cheap kama ya kusema eti Diamond alikuwa threatened na uwezo wa Harmonize(sick..!)
Kwa generation hii Kibongobongo hakuna kabisa, huwa naangalia streams kwani ndiyo sehemu inayodhihirisha popularity ya artists si huku kwingine ambapo artist anaweza kuwa na supporters wachache lakini wanapiga makelele mengi kujaribu ku deceive watu kuwa artist wanayemshabikia ndiyo tishio.
Akili za kuambiwa changanya na za kwako.
 
Ndiyo kama upimbi alofanya Harmo baadaye anakuja kulialia Airport, mara ooh 40% mara ooh nyimbo mbili kwa mwaka.
Very stupid, kumbe naye anafanya hayo havyo kwa wenzake.

Sent using Jamii Forums mobile app
harmonize hakulalamikia hilo swala ila wabongo kuelewa jambo ni mtihani sana, yeye alieleza jinsi ilivyokuwa sababu watu walikuwa wanamjia juu na kuona kama kasaidiwa sana na hana shukrani, yeye ndo akasema mkataba wake ni nyimbo mbili tu ila ukiona natoa nyimbo kwa mwaka zaidi ya mbili basi hilo hela ni ya kwangu na hela ya show haijalishi inarudi kwa meneja, ila sababu hakutukanae hakuchagulii tusi wcb tukageuza hio mada ila mda mwingine inakera , wabongo wanafki sana.
 
Ndiyo kama upimbi alofanya Harmo baadaye anakuja kulialia Airport, mara ooh 40% mara ooh nyimbo mbili kwa mwaka.
Very stupid, kumbe naye anafanya hayo havyo kwa wenzake.

Sent using Jamii Forums mobile app
harmonize hakulalamikia hilo swala ila wabongo kuelewa jambo ni mtihani sana, yeye alieleza jinsi ilivyokuwa sababu watu walikuwa wanamjia juu na kuona kama kasaidiwa sana na hana shukrani, yeye ndo akasema mkataba wake ni nyimbo mbili tu ila ukiona natoa nyimbo kwa mwaka zaidi ya mbili basi hilo hela ni ya kwangu na hela ya show haijalishi inarudi kwa meneja, ila sababu hakutukanae hakuchagulii tusi wcb tukageuza hio mada ila mda mwingine inakera , wabongo wanafki sana
 
Hako kajamaa ni kanafiki halafu kanapenda huruma huruma kazi kulia kwenye media kila siku, juzi kapost wenzie na hakuna makubaliano halafu anasema leo kwamba angeweza mpigia simu hivi wewe uweke tangazo public jux akupigie simu kama nani nimeshangaa sana mchizi ana unafiki wa kipuuzi sana.
 
harmonize hakulalamikia hilo swala ila wabongo kuelewa jambo ni mtihani sana, yeye alieleza jinsi ilivyokuwa sababu watu walikuwa wanamjia juu na kuona kama kasaidiwa sana na hana shukrani, yeye ndo akasema mkataba wake ni nyimbo mbili tu ila ukiona natoa nyimbo kwa mwaka zaidi ya mbili basi hilo hela ni ya kwangu na hela ya show haijalishi inarudi kwa meneja, ila sababu hakutukanae hakuchagulii tusi wcb tukageuza hio mada ila mda mwingine inakera , wabongo wanafki sana
Wewe utakuwa ni mmakonde mwenzako Ndio maana unamtetea mtu analalamika mpaka analia, kama alivyotoka mapovu pale airport asubili na yeye malalamiko pale ambapo wasanii wake watajitoa kwenye label yake
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Back
Top Bottom