[emoji16][emoji16]Aliyekuwa msanii wa Konde Gang ,Country boy wakati akihojiwa na Millard Ayo, Anadai mkataba wake ulikuwa unamruhusu kuachia nyimbo mbili tu kwa mwaka.
Naona anaanza kutoa siri za kambi polepole, juzi kadai kapokonywa gari, leo tena anadai mkataba ulikuwa unambana kutoa nyimbo.
Koh koh koh koh ........... jeshiii
12 na 2 ni sawa?Nakumbuka Harmonize moja ya kilio chake kikubwa pale WCB alisema alikuwa anaruhusiwa kutoa nyimbo mbili kwa mwaka. Mbona na yeye ameenda kuwafanyia wenzie yale yale 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
What goes around comes aroundNakumbuka Harmonize moja ya kilio chake kikubwa pale WCB alisema alikuwa anaruhusiwa kutoa nyimbo mbili kwa mwaka. Mbona na yeye ameenda kuwafanyia wenzie yale yale 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Haha..bado kusema ametakiwa atoe Milioni ngapi kuvunja mkataba
Kwa kweli muda ndio uwa unatoa majibuWhat goes around comes around
Kwa hiyo wewe inakuuma Harmo akiongelewa vibaya? Yaani unaumia......... eti.Yaani hiki kimtoa mada kinatafutaga mambo negative basi ya watu..
Hii ndio dhana ya uchawi
Dogo lile la sinza Hziyech22 litakuwa limewakoti wote hapa tayari