Mwamba ndio umefura kiasi hicho utadhani umechapiwa tunda lako au ndio wewe ni harmonize mwenyeweYaani hiki kimtoa mada kinatafutaga mambo negative basi ya watu..
Hii ndio dhana ya uchawi
Dogo lile la sinza Hziyech22 litakuwa limewakoti wote hapa tayari
Tafuta kazi ya kufanya kutwa kuwa chawa utaolewa.Mwamba ndio umefura kiasi hicho utadhani umechapiwa tunda lako au ndio wewe ni harmonize mwenyewe
Maswali mengi sijasoma hata moja..Kwa hiyo wewe inakuuma Harmo akiongelewa vibaya? Yaani unaumia......... eti.
Sasa niliye muongelea -ve mimi au Country halafu hii habari ipo public so ina maana Millard Ayo naye alikuwa anatafuta mambo negative ya Harmoze?
Kwa hiyo hapo hulipo mooyo unakuuma na kukufurukuta kisa nimeleta habari -ve ya Harmonize?
Kwani wakat anasaini hakuonaAliyekuwa msanii wa Konde Gang ,Country boy wakati akihojiwa na Millard Ayo, Anadai mkataba wake ulikuwa unamruhusu kuachia nyimbo mbili tu kwa mwaka.
Naona anaanza kutoa siri za kambi polepole, juzi kadai kapokonywa gari, leo tena anadai mkataba ulikuwa unambana kutoa nyimbo.
Koh koh koh koh ........... jeshiii
Kwa kufipisha tu.Maswali mengi sijasoma hata moja..
Wajinga sanaWasanii wetu ni vilaza sana ina maana hakuuona huo mkataba kuwa una mbana tangu mwanzo
Ndiyo kama upimbi alofanya Harmo baadaye anakuja kulialia Airport, mara ooh 40% mara ooh nyimbo mbili kwa mwaka.Wajinga sana
Ova
Kama uliskiliza ile interview vizur bas utakua unajua kuwa harmonize hakua na shida na 40% ila wcb hasa diamond walikua na chuki na kutishwa kwa uwezo wa Harmonize...Ndiyo kama upimbi alofanya Harmo baadaye anakuja kulialia Airport, mara ooh 40% mara ooh nyimbo mbili kwa mwaka.
Very stupid, kumbe naye anafanya hayo havyo kwa wenzake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina akili timamu and I know what I heard na pia najua kipi alichokuwa akipigania kuaminisha watu(if you can read between the lines then you know what I mean)Kama uliskiliza ile interview vizur bas utakua unajua kuwa harmonize hakua na shida na 40% ila wcb hasa diamond walikua na chuki na kutishwa kwa uwezo wa Harmonize...
Na wewe ni shabiki wa kondeboy?Kama uliskiliza ile interview vizur bas utakua unajua kuwa harmonize hakua na shida na 40% ila wcb hasa diamond walikua na chuki na kutishwa kwa uwezo wa Harmonize...
Hajauona mana ajuwe kusomaWasanii wetu ni vilaza sana ina maana hakuuona huo mkataba kuwa una mbana tangu mwanzo
Mmakonde tushazika soon tunasafirishaYaani hiki kimtoa mada kinatafutaga mambo negative basi ya watu..
Hii ndio dhana ya uchawi
Dogo lile la sinza Hziyech22 litakuwa limewakoti wote hapa tayari
harmonize hakulalamikia hilo swala ila wabongo kuelewa jambo ni mtihani sana, yeye alieleza jinsi ilivyokuwa sababu watu walikuwa wanamjia juu na kuona kama kasaidiwa sana na hana shukrani, yeye ndo akasema mkataba wake ni nyimbo mbili tu ila ukiona natoa nyimbo kwa mwaka zaidi ya mbili basi hilo hela ni ya kwangu na hela ya show haijalishi inarudi kwa meneja, ila sababu hakutukanae hakuchagulii tusi wcb tukageuza hio mada ila mda mwingine inakera , wabongo wanafki sana.Ndiyo kama upimbi alofanya Harmo baadaye anakuja kulialia Airport, mara ooh 40% mara ooh nyimbo mbili kwa mwaka.
Very stupid, kumbe naye anafanya hayo havyo kwa wenzake.
Sent using Jamii Forums mobile app
harmonize hakulalamikia hilo swala ila wabongo kuelewa jambo ni mtihani sana, yeye alieleza jinsi ilivyokuwa sababu watu walikuwa wanamjia juu na kuona kama kasaidiwa sana na hana shukrani, yeye ndo akasema mkataba wake ni nyimbo mbili tu ila ukiona natoa nyimbo kwa mwaka zaidi ya mbili basi hilo hela ni ya kwangu na hela ya show haijalishi inarudi kwa meneja, ila sababu hakutukanae hakuchagulii tusi wcb tukageuza hio mada ila mda mwingine inakera , wabongo wanafki sanaNdiyo kama upimbi alofanya Harmo baadaye anakuja kulialia Airport, mara ooh 40% mara ooh nyimbo mbili kwa mwaka.
Very stupid, kumbe naye anafanya hayo havyo kwa wenzake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utakuwa ni mmakonde mwenzako Ndio maana unamtetea mtu analalamika mpaka analia, kama alivyotoka mapovu pale airport asubili na yeye malalamiko pale ambapo wasanii wake watajitoa kwenye label yakeharmonize hakulalamikia hilo swala ila wabongo kuelewa jambo ni mtihani sana, yeye alieleza jinsi ilivyokuwa sababu watu walikuwa wanamjia juu na kuona kama kasaidiwa sana na hana shukrani, yeye ndo akasema mkataba wake ni nyimbo mbili tu ila ukiona natoa nyimbo kwa mwaka zaidi ya mbili basi hilo hela ni ya kwangu na hela ya show haijalishi inarudi kwa meneja, ila sababu hakutukanae hakuchagulii tusi wcb tukageuza hio mada ila mda mwingine inakera , wabongo wanafki sana