Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
Utafiti unaonesha uko sahihi kwani bado siku chache Sana mje kuhesabiwa usisahau kuniletea mkatehaya bado miezi miwili iwe mwakani
Sawa nitakuletea zawadiUtafiti unaonesha uko sahihi kwani bado siku chache Sana mje kuhesabiwa usisahau kuniletea mkate
Nadhani ni msaga sumu[emoji1]country boy ndio nani??
Usisahau kuniletea na zile raba mpya zilizongingia siku hizi kama zile za daimondiSawa nitakuletea zawadi
Tungeambiwa walau hata wimbo mmoja alioimba jamaniNadhani ni msaga sumu[emoji1]
haya na soksi nitaletaUsisahau kuniletea na zile raba mpya zilizongingia siku hizi kama zile za daimondi
unanitega shemeji, unanitega mama weeNadhani ni msaga sumu[emoji1]
mjinga tu huyu, tuzo!? kwa mziki wa vichochoroni.Rapper Country Boy ameahidi kuwa mwakani atafanya
mambo makubwa ikiwemo kuleta tuzo ya kimataifa.
Ametoa ahadi hiyo wakati akizungumza na mtangazaji wa
Kings FM, Prince Ramalove. “Inshallah tuombe Mungu na
ntakuja kuwaprove kwa hii ngoma ambayo inakuja, ntakuja
kuiachia,” amesema.
“Ni ngoma ambayo kubwa sana, ni ngoma ambayo inaweza
ikapenetrate Afrika nzima, Nigeria, South Africa, Angola,
Senegal, Marekani tutafika kote huko,” ameongeza.
Kweli hata wimbo alioimba uliompa jinaPicha tafadhali