Country Boy: Mwakani naleta tuzo ya kimataifa nyumbani

Mshamba wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
2,857
Reaction score
3,593
Rapper Country Boy ameahidi kuwa mwakani atafanya
mambo makubwa ikiwemo kuleta tuzo ya kimataifa.
Ametoa ahadi hiyo wakati akizungumza na mtangazaji wa
Kings FM, Prince Ramalove. “Inshallah tuombe Mungu na
ntakuja kuwaprove kwa hii ngoma ambayo inakuja, ntakuja
kuiachia,” amesema.
“Ni ngoma ambayo kubwa sana, ni ngoma ambayo inaweza
ikapenetrate Afrika nzima, Nigeria, South Africa, Angola,
Senegal, Marekani tutafika kote huko,” ameongeza.
 
mjinga tu huyu, tuzo!? kwa mziki wa vichochoroni.
 
Back
Top Bottom