Couple Bora ya Chit-Chat hii hapa!

ndo na mi nashanga my wee ahsante kwa ufafanyuzi! FP kuja huku sakapal kashatoa ufafanuzi Erickb52 hebu hizo ndyofu zako uzinywe taratiiiibu! FP mi sitaki upate shida ujue!
mdogo wangu nini sasa kunikatiza kwenye ndoto?
yaani hapa naona maluweluwe tu, lol! usingizi mtamu jamani, ukizingatia nilikuwa namuota teja! we acha tu.....
nakuaminia mdogo wangu kwa kunikingia kifua, yaani huwa najiaminije nikiwa karibu yako......! Mungu anipe nini tena zaidi ya mdogo wangu wewe?
cc. sakapal, Erickb52, na loya EMT
 
Last edited by a moderator:
Halafu Saint Ivuga tokea aripoti polisi sentro kuungua moto kwa juu hajasikika tena.

Sijui alibakia huko huko sentro?

Heeheee kuna siku nilimuona aliibuka akanambia tumemtupa then akapotea jumla lol
Hivi na CUTE yuko wapi jamani?
 
Last edited by a moderator:
Mi hapa i'm just waiting for Chocs, kwenye kufanya maamuzi magumu, kumwondolea ubabaishaji wa mapenzi anaoupata toka kwa Erickb52...
Afu tukitengeneza couple ndiyo mashindano yaanze rasmi..
 
Last edited by a moderator:

Passion Lady Una akili sana wewe.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaa

Nimecheka sana!

Kumbe nilifanya makosa sana kukupendekeza, ama kweli hufai.
 


Tell him, hajui nyuma ya pazia kuna nini
 


Naunga mkono hoja ya wewe ku appeal, hafai huyu.
 
Last edited by a moderator:
sikubaliani na ushindi huu hewa! ni vigezo gani vimetumika? Erickb52 ana interest kwenye hili hivyo hana sifa ya kuwa mratibu,pia ni wazi shindano halina masharti na vigezo vya kupata mshindi! mchakato huu ni batili pamoja na ushindi! mimi na my Passion Lady tunapinga mchakato huu batili na ushindi batili
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…