Couple Bora ya Chit-Chat hii hapa!


honey umeona eee!!yani full furugu shindano na mratibu wake,sijui muandaaji nae ni mafujo au vp! ila usijali sie ni washindi kila siku swr!!
 
Pls endelea tu mbele me siwezi kuamua kuja kwako...bado nampenda Erickb52

ishakula kwako!
pamoja na ushawishi mkubwa niliokufanyia...
pamoja na manyanyaso makubwa ya maneno na vitendo toka kwa Erickb52, anatangaza kuwa wewe ni nyumba ndogo, bado umeng'ang'ania! what type of woman a u? mbona unawa aibisha wanawake wenzako kwa kukubali harasiment ya wazi kabisa?
Shauri yako, ikifikia wakati wa wewe kunihitajitaji! Nadhani mimi nitakuwa sikuhitaji...
Ila nimeamini Wanyiramba wagumu sana, na ndivyo mlivyo....
 
Last edited by a moderator:
mwananthropolojia nilikuambia kuwa Kipipi ni headache achana nae na pia sijamuacha mbona huelewi?
Au dada zake FP na snowhite ndio wanakupa kichwa?

mimi naiaminia hiyo familia hawana tabia za kugonganisha magari kwan wana tabia njema, halaf wanaheshimu maamuzi ya familia so ukikubalika kwa family umemaliza gemu
saiz mi na Kipipi tupo kwenye mapenz ya sanjaydat na amir kapur, we ushakanyagwa na kiatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…