Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,643
sikubaliani na ushindi huu hewa! ni vigezo gani vimetumika? Erickb52 ana interest kwenye hili hivyo hana sifa ya kuwa mratibu,pia ni wazi shindano halina masharti na vigezo vya kupata mshindi! mchakato huu ni batili pamoja na ushindi! mimi na my Passion Lady tunapinga mchakato huu batili na ushindi batili
honey umeona eee!!yani full furugu shindano na mratibu wake,sijui muandaaji nae ni mafujo au vp! ila usijali sie ni washindi kila siku swr!!