Hapana sijaguess nimeangalia unavyong'ang'ania kwa uzito sana! mwanamke gani unayependa kushare?
Makubwa, kumbe wanyiramba ndo wanapenda vya kushare...
Una uhakika kua nnshare?
Labda washindi mnaposhindana nyie kwa nyie Passion Lady kubalini matokeo tu
Hivi Nicas Mtei anajua kufanya matusi?
Siamini km mtoto ni wake maana namjua ni mstaarabu hanaga mambo ya giza labda km ulimbaka
HahahahaaaaTena mkuki kwenye wowowo
halafu kumbe uliniacha bila kuniambia ukaenda kwa Mentor !Naomba umwambie Shemejio Mentor mm uvumilivu umenishinda narudi kwetu Arusha kwaninaonasasa nitaambulia magonjwa bure, alivyokuja kwako kaka na kukwambia kuwa ananiitaji turudiane tena wewe kaka ukampa mashartri sasa naona yale masharti ameshayasahau hivyo ni bora nije Arusha ili nipumzike na hiyo zawadi unipe mm na mume wangu wa zamani Excellent kwani naona yeye ana moyo wa kujali na kupenda sio huyu ambaye anaonekana machoni ni mpole na kondoo kumbe ni mbwa mwitu, pls kaka mm moyo wangu bado umejaa kwake ila matendo yake yananiondoa hapol feri acha nipumzike kidogo nione kama atajirekebisha na akija home tena kaka mpe faini ya kukaa nje kwa siku 5 kama sulindutu ili iwe fundisho kwake na kwa wengine wenye kuratibu wanawake ovyo nje ya ndoa
naunga hoja
Natangaza natafuta mke awe wangu mwenyewe nami niwe wakwake mwenyewe kama smolu hauz zangu ataziafiki yeye.
Mambo mengine yamenichosha!
siyo nyie bana.......
wewe si tulishakubaliana unakuwa mdogo wangu? TANMO akipatikana nitamshauri we mwanangu
yupo teja humu humu anafwatilia tu.
ndugu zangu wote wanakusalimu pia
Sijambo mama mchungaji,habari ya kwako unaendeleaje?baba mchungaji za siku. kondoo hawajambo.