Couple Bora ya Chit-Chat hii hapa!

Couple Bora ya Chit-Chat hii hapa!

Makubwa, kumbe wanyiramba ndo wanapenda vya kushare...
Una uhakika kua nnshare?
Hapana sijaguess nimeangalia unavyong'ang'ania kwa uzito sana! mwanamke gani unayependa kushare?
 
Natangaza natafuta mke awe wangu mwenyewe nami niwe wakwake mwenyewe kama smolu hauz zangu ataziafiki yeye.

Mambo mengine yamenichosha!
 
Makubwa, kumbe wanyiramba ndo wanapenda vya kushare...
Una uhakika kua nnshare?

Kwani huyo amyner, kipipi na remmy hamshei kwa huyu bwana mdogo Erickb52..
dawa uliyomezeshwa Chocs ni kali sana! huelewi hata kidogo
 
Last edited by a moderator:
Pole yako...wanyiramba wakija utakoma...Ha ha ha ha ha ha ha ha ha.....endelea kuguess hivyo hivyo mwisho utasema wamasai afu wakuchome mkuki buree!

Tena mkuki kwenye wowowo
 
Hivi Nicas Mtei anajua kufanya matusi?
Siamini km mtoto ni wake maana namjua ni mstaarabu hanaga mambo ya giza labda km ulimbaka

umejuaje...
Kaka wachokonoa ya watu ngoja yakuchafue..
 
Last edited by a moderator:
Naomba umwambie Shemejio Mentor mm uvumilivu umenishinda narudi kwetu Arusha kwaninaonasasa nitaambulia magonjwa bure, alivyokuja kwako kaka na kukwambia kuwa ananiitaji turudiane tena wewe kaka ukampa mashartri sasa naona yale masharti ameshayasahau hivyo ni bora nije Arusha ili nipumzike na hiyo zawadi unipe mm na mume wangu wa zamani Excellent kwani naona yeye ana moyo wa kujali na kupenda sio huyu ambaye anaonekana machoni ni mpole na kondoo kumbe ni mbwa mwitu, pls kaka mm moyo wangu bado umejaa kwake ila matendo yake yananiondoa hapol feri acha nipumzike kidogo nione kama atajirekebisha na akija home tena kaka mpe faini ya kukaa nje kwa siku 5 kama sulindutu ili iwe fundisho kwake na kwa wengine wenye kuratibu wanawake ovyo nje ya ndoa
naunga hoja
halafu kumbe uliniacha bila kuniambia ukaenda kwa Mentor !
we Ladyfuraha ww!
 
Last edited by a moderator:
siyo nyie bana.......
wewe si tulishakubaliana unakuwa mdogo wangu? TANMO akipatikana nitamshauri we mwanangu
yupo teja humu humu anafwatilia tu.
ndugu zangu wote wanakusalimu pia

Hujambo My Sweet, My Potato, My Sugarcane, My Life, My Water, My Kila kitu?
Hivi hapo kwenye Bold ulitaka kusemaje?
 
Back
Top Bottom