Naomba umwambie Shemejio
Mentor mm uvumilivu umenishinda narudi kwetu Arusha kwaninaonasasa nitaambulia magonjwa bure, alivyokuja kwako kaka na kukwambia kuwa ananiitaji turudiane tena wewe kaka ukampa mashartri sasa naona yale masharti ameshayasahau hivyo ni bora nije Arusha ili nipumzike na hiyo zawadi unipe mm na mume wangu wa zamani
Excellent kwani naona yeye ana moyo wa kujali na kupenda sio huyu ambaye anaonekana machoni ni mpole na kondoo kumbe ni mbwa mwitu, pls kaka mm moyo wangu bado umejaa kwake ila matendo yake yananiondoa hapol feri acha nipumzike kidogo nione kama atajirekebisha na akija home tena kaka mpe faini ya kukaa nje kwa siku 5 kama
sulindutu ili iwe fundisho kwake na kwa wengine wenye kuratibu wanawake ovyo nje ya ndoa
naunga hoja