aaah sasa nitafanyaje maana kuna vitu vingine adimu kwinginenina wasiwas kukimbiwa kote uko bado umemrudia...
Kuna kitu...
aaaaah usishawishike kihivo mpenzi si unajua nakupenda sanaaaaaa!
aaah sasa nitafanyaje maana kuna vitu vingine adimu kwingine
nina wasiwas kukimbiwa kote uko bado umemrudia...
Kuna kitu...
Sorry!!!
Kizembe hivyo?
Ukuta before capturing one's mind, unawekwa with more actions sio maneno tu.
kwani hujui kuwa 'Mbuzi kafia kwa mwuza supu.' acha kufuatilia mambo ya ndoa za watu yatakushinda wewe kiherere tu SHINDWA KABISA
Nashukuru sana kwa kunisamehe best na vilevile kutambua kosa langu nililokufanyia acha niachie kiss la upendo kwako mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nakupenda pia gnite
Hahahahahaaa sema sema kijanaaaaa
Eti bro, ni nani kati ya my wives unamtaka maana naona kutwa kuchwa huachi kunisimanga. Sema ka vipi nkuachie wote maana nina mpango wa kuwaacha wote niende zangu kwa Kipipi mie...
Hahahahaaaa namtaka Mrembo by Nature coz ladyfurahia ni dada yangu so siwezi fanya nae matusi labda mtunyweshe damu ya kondoo pia catherine ni dada wa hiari.
Achana na Kipipi huyo password ninayo mimi ndio maana hata mwananthropolojia kagonga mwamba.
Anyway jaribu kwa Kongosho au Mamndenyi ukalelewe

Hahhaha duh kama tume ya uchaguzi ya bongo vile.....!