Couple Bora ya Chit-Chat hii hapa!

unasubiri nini kufanya maamuzi sasa?, unangoja nini kuchukua hatua
iliyonyooka?acha kuogopa weka nia mbele na thubutu sasa ...........
Mbona mnazungukazunguka sasa?
Semeni mnaendelea au mnaachana?
Kuna watu wanasubiri muachane watake over
 
aliniachia p.o. box
nikienda mjini ntamtumia barua.
Hahahaaa
Aisee kweli bado mko Analogia Mamndenyi
Dawa ya nyie mnaojifanya kutulinda wanaume wenu ni kuwapa P.O BOX tu hapo yan hakuna kufurukuta
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa funguka mdada!
Unasuka au unanyoa?
 
Mi naona kama unatapatapa tuu..
Machoni, wanakukubali ila rohoni washakubwaga!
Utapata anguko kubwa muda si mrefu..
 
akulalamikie wewe kwani WE MSHENGA.....
 
Last edited by a moderator:
mi naona kama unatapatapa tuu..
Machoni, wanakukubali ila rohoni washakubwaga!
Utapata anguko kubwa muda si mrefu..
lord, give me the courage to change the things which can and ought to be changed, the serenity to accept things which cannot be changed, and the wisdom to know the difference
 
Bado unaendela kunikana? basi niliamua turudiane ila ngoja tu nibaki single

Angalia likes za comment kama hizi zinatoka kwa nani ndipo ujue nani mfitini wa pendo letu...you are the icing on my life's cake hun!!!
 
lord, give me the courage to change the things which can and ought to be changed, the serenity to accept things which cannot be changed, and the wisdom to know the difference

ha ha ha ha!
i know the difference now..
 
Angalia likes za comment kama hizi zinatoka kwa nani ndipo ujue nani mfitini wa pendo letu...you are the icing on my life's cake hun!!!

Eti Erickb52 unanishauri nini kuhusu huyu Mentor? ujue ananitesa sana, hanithamini kabisa. Hebu ona mwezi huu alivyonidhalilisha hapa kwa kuniletea wanawake wake. nisaidie mtoto wa mwanaume mwenzako
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…