Couple Bora ya Chit-Chat hii hapa!

yani wewe sasa UMESHINDIKANA KABISA ila nitakupima kwenye vipimo vya DNA ili nione kama ufahamu, akili zako ziko sawa na tena nitakupeleka kwenye MAHAKAMA ya LOCAL GOVERNMENT ili wakupime una nini wewe kwani nashangaza sana na tena leo ukija home nitakutandika mikwaju uachane na hao wadada wako wewe
wahenga walisema, "Happy is he who never loses his child's heart" so sidhan kama nakosea.

Ila honestly, hufurahi sana nikiona comment yako..popote!!! yani moyo hufarijika kujua uko salama...:A S-heart-2:
 
yamekuchoma na kuuma kumbe endelea sasa kuleta wwanawake wako tena hapa home
unasubiri nini kufanya maamuzi sasa?, unangoja nini kuchukua hatua
iliyonyooka?acha kuogopa weka nia mbele na thubutu sasa ...........
 
yawezekana kuwa nimelishwa mzizi kwani nashangaa sana sijui kwanini kaka nimekuwa chizi wa mapenzi kwa huyu mtu Mentor sijielewi kabisa tena kabisa inabidi niwe makini nisije kumkosa Excellent wangu bure
Anakurubuni tu ladyfurahia achana nae kwanza usipokuwa makini na Excellent nae atakutema kwa kutokuwa na misimamo. Au umelishwa mizizi kwa Mentor ?
 
Last edited by a moderator:
naomba usimsumbue my wife to be,nishajitambulisha kwa dada zake na wamenikubali, nasubiria kuletewa gharama ya posa tu hapa nichukue jumla

Kwani unawaona hao dada zake au Kipipi mwenyewe?
Waambie kama wanakupenda basi wachukue hatua wao wenyewe ila sio my swrhrt.

Copy FP snowhite
 
Last edited by a moderator:
yawezekana kuwa nimelishwa mzizi kwani nashangaa sana sijui kwanini kaka nimekuwa chizi wa mapenzi kwa huyu mtu Mentor sijielewi kabisa tena kabisa inabidi niwe makini nisije kumkosa Excellent wangu bure

Basi nyamza then komaa nao wote kimyakimya...yan kila mmoja anakuwa nyumba kubwa kwa muda wake
 
Last edited by a moderator:
Kwani unawaona hao dada zake au Kipipi mwenyewe?
Waambie kama wanakupenda basi wachukue hatua wao wenyewe ila sio my swrhrt.

Copy FP snowhite
ha haaa, wewe unajua misimamo yetu sisi dada zake......
tutakayeletewa na mdogo wetu Kipipi ndo tutakayemkubali....
kwetu ni utawala binafsi
 
Last edited by a moderator:
Kichanga hajambo?
 
Sifa mojawapo ilikuwa ndoa ya muda mrefu measkron so mnafaa kushindanishwa

lol.... Erickb52 una visa wewe...... sie wazee tuko kijiji twala mihogo huku utushindanishe na mambo ya njini....btw pole sana na kamanda Lema kukamatwa jana ndugu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…