Couple Bora ya Chit-Chat hii hapa!

Couple Bora ya Chit-Chat hii hapa!

hongereni washindi..waloshindwa kazeni buti...ila,je,washiriki wote wana imani na mwenyekiti wa uchaguzi alojiteua kua mshindi?

mimisa wala usikonde huyu Erickb52 mtu wa chapaa kazi ya uratibu tutamnyang'anya muda si mrefu,ngoja nimwite gwiji wa kura za maoni.. Spiderman njoo haraka ubaazi huu.
 
Last edited by a moderator:
sema ''mshindi keshajitangaza tayari''
Hahahahaaaa tena ndio tuko njiani tunaenda zetu kulala na Amyner wangu lol
Rahaaaaa utamuuuu
Ded Naikia Utamu-by Dully Sykes
 
Last edited by a moderator:
nataka useme uliyeleta hoja hapa,
na kama husemi niitie Mr Rocky
aseme mwenyewe.
Sasa wewe naona unataka kuniharibia raha yangu!
Hebu ngoja tukitoka hotelini kwenye zawadi yetu ndio ulete malalamiko yako na Mr Rocky mi niko najiandaa kuunganisha vifanyio vyetu na ma wife hahahaaaaa:smile-big:
 
Last edited by a moderator:
kwenye iyo no.19 naona umeamua kumchokoza KakaKiiza na mwandani wake..maana mimi hata simfahamu
Nikiwa kama mratibu wa shindano la kusaka ni couple ipi bora na mfano wakuigwa naomba kutangaza rasmi walioshinda.!
Hapakuwa na katiba ilonizuia kushiriki shindano kwa kuwa ni Mratibu hivyo na mimi nilikuwa mshiriki....!
Natangaza kuwa Erickb52 na Amyner ndio the best couple daima!
Tangu niingie moyoni kwa Amyner naye moyoni mwangu tumekuwa ni watu wenye furaha na wenye mapenzi ya kweli bila kujali umbea wa Bishanga na mkewe The secretary na uwepo wa nyumba ndogo kadhaa....amenivumilia sana! Chocs najua wanipenda sana ila usijali bado uko kwenye probation na kukidhi viwango vya uvumilivu kama Amyner

Nikiwa kama Mratibu naomba kuwataja washiriki wenzangu!
1. sweetlady na nitonye -Hawa Talaka ni nyingi sana
2. Bishanga na The secretary -Wambea sana na wanagombana kila kukicha
3. Filipo na marejesho -Mapenzi yao ya plastic
4. King'asti na Paw -Wanapendana kisa King'asti hataki ban na hajatulia.
5. watu8 na measkron -Hawaeleweki eleweki utadhani wanaiba
6. Arabela na zubedayo_mchuzi -Kila siku Arabela analalamika hatimiziwi haja zake
7. Ruttashobolwa na Passion Lady - Mh bado penzi lao changa
8. Mr Rocky na Dena Amsi -Hawafai kuigwa
9. Mr Rocky na Mamndenyi -Penzi changa bado
10. YNNAH na Judgement - Wanaonekana kama bado wako probation
11. sosoliso na Paloma ??????
12. gfsonwin na Kaizer -Penzi lao lilikuwa zamani
13. Mentor na Mrembo by Nature -Under ground bado
14. Madame B na Ben Saanane / Chimbuvu / nawengineo lol sio couple tena hii ni SACCOS!
15. Mungi na Lily Flower - Mara ya mwisho Naroki Mungi alijifanya hamjui mkewe lol
16. Remmy na PakaJimmy -Ilidumu kwa masaa mawili tu
17. stevoh na Zion Daughter -Hawa watasahaulika hadi siku ya ndoa yao! lol Samahanini sana!
18. Slave na Evelyn Salt -Jukwaa la wakubwa ndio linawatenganisha hawa jamaa
19. mimisa na KakaKiiza -Duh wanatongozana kila siku na hawafikii muafaka
Mwisho naomba kusema kama kuna couple haipo hapa ijue inasuasua sana na wachukue hatua. Arushaone nimeshindwa kujua wewe uko nanani au ndio King Mswati? kiwatengu utachonga sana..!

Naomba zawadi yangu Bishanga unipatie kabla ya lunch time.
Salamu zangu kwa Kipipi Nakupenda sana!
Copy kwa AshaDii na kiwatengu

"Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!
"
 
Last edited by a moderator:
Hivi wako ni nani ? TANMO ? Mimi ?
Halafu nifikishie salamu zangu kwa dada yako snowhite na kaka yenu moto2012 plus mdogo wenu Kipipi
siyo nyie bana.......
wewe si tulishakubaliana unakuwa mdogo wangu? TANMO akipatikana nitamshauri we mwanangu
yupo teja humu humu anafwatilia tu.
ndugu zangu wote wanakusalimu pia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom