Couple Bora ya Chit-Chat hii hapa!

Couple Bora ya Chit-Chat hii hapa!

Nikiwa kama mratibu wa shindano la kusaka ni couple ipi bora na mfano wakuigwa naomba kutangaza rasmi walioshinda.!
Hapakuwa na katiba ilonizuia kushiriki shindano kwa kuwa ni Mratibu hivyo na mimi nilikuwa mshiriki....!
Natangaza kuwa Erickb52 na Amyner ndio the best couple daima!
Tangu niingie moyoni kwa Amyner naye moyoni mwangu tumekuwa ni watu wenye furaha na wenye mapenzi ya kweli bila kujali umbea wa Bishanga na mkewe The secretary na uwepo wa nyumba ndogo kadhaa....amenivumilia sana! Chocs najua wanipenda sana ila usijali bado uko kwenye probation na kukidhi viwango vya uvumilivu kama Amyner

Nikiwa kama Mratibu naomba kuwataja washiriki wenzangu!
1. sweetlady na nitonye -Hawa Talaka ni nyingi sana
2. Bishanga na The secretary -Wambea sana na wanagombana kila kukicha
3. Filipo na marejesho -Mapenzi yao ya plastic
4. King'asti na Paw -Wanapendana kisa King'asti hataki ban na hajatulia.
5. watu8 na measkron -Hawaeleweki eleweki utadhani wanaiba
6. Arabela na zubedayo_mchuzi -Kila siku Arabela analalamika hatimiziwi haja zake
7. Ruttashobolwa na Passion Lady - Mh bado penzi lao changa
8. Mr Rocky na Dena Amsi -Hawafai kuigwa
9. Mr Rocky na Mamndenyi -Penzi changa bado
10. YNNAH na Judgement - Wanaonekana kama bado wako probation
11. sosoliso na Paloma ??????
12. gfsonwin na Kaizer -Penzi lao lilikuwa zamani
13. Mentor na Mrembo by Nature -Under ground bado
14. Madame B na Ben Saanane / Chimbuvu / nawengineo lol sio couple tena hii ni SACCOS!
15. Mungi na Lily Flower - Mara ya mwisho Naroki Mungi alijifanya hamjui mkewe lol
16. Remmy na PakaJimmy -Ilidumu kwa masaa mawili tu
17. stevoh na Zion Daughter -Hawa watasahaulika hadi siku ya ndoa yao! lol Samahanini sana!
18. Slave na Evelyn Salt -Jukwaa la wakubwa ndio linawatenganisha hawa jamaa
19. mimisa na KakaKiiza -Duh wanatongozana kila siku na hawafikii muafaka
20. sakapal na FP -Hawavumi ila wamo a.k.a Kimyakimya
Mwisho naomba kusema kama kuna couple haipo hapa ijue inasuasua sana na wachukue hatua. Arushaone nimeshindwa kujua wewe uko nanani au ndio King Mswati? kiwatengu utachonga sana..!

Naomba zawadi yangu Bishanga unipatie kabla ya lunch time.
Salamu zangu kwa Kipipi Nakupenda sana!
Copy kwa AshaDii na kiwatengu

"Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!
"

Mic u lot Erickb52
 
Last edited by a moderator:
matokeo yamechakachuliwa
1.haiwezekani Erickb52awe mshiriki na hapohapo mratibu
2.mratibu kacheza faulo kunipora Kipipi wangu katika mazingira tatanishi kwani alishapigwa chini ila ametumia cheo cha uratibu kujimilikisha kwa nguvu

kutokana na maelezo hayo hapo juu tunatangaza kupinga matokeo na tunaomba uchaguzi urudiwe na mratibu awe Bishanga .

Azimio la kurudiwa kwa uchaguzi lisipotekelewzwa tutafanya maandamano JF ambayo yataanzia chit chat kuelekea barabara ya MMU tutaweka kambi ndogo pale halafu tutaendelea na kuishia love connect tutakapofanya mkutano mkubwa wa hadhara
 
mdogo wangu Kipipi mbona hujatuambia tuna shem mpya?
mwenzangu snowhite una habari hii?
 
Last edited by a moderator:
matokeo yamechakachuliwa
1.haiwezekani Erickb52awe mshiriki na hapohapo mratibu
2.mratibu kacheza faulo kunipora Kipipi wangu katika mazingira tatanishi kwani alishapigwa chini ila ametumia cheo cha uratibu kujimilikisha kwa nguvu

kutokana na maelezo hayo hapo juu tunatangaza kupinga matokeo na tunaomba uchaguzi urudiwe na mratibu awe Bishanga .

Azimio la kurudiwa kwa uchaguzi lisipotekelewzwa tutafanya maandamano JF ambayo yataanzia chit chat kuelekea barabara ya MMU tutaweka kambi ndogo pale halafu tutaendelea na kuishia love connect tutakapofanya mkutano mkubwa wa hadhara

Kwa kuongezea...nitaomba shindano lipelekwe mbele na washindani watangazwe, afu kampeni iwepo walau kwa saa chache..
na siku ya kampeni itangazwe!
cc,
Bishanga
 
Last edited by a moderator:
Bora ungeomba kwanza ushauri..
Huyo dada huyo, aaah!

nimepata tabu sana kumpata wa kwenda nae porini,si unajua shughuli zetu za porini?watoto wote wanataka kushinda mjini tu, sasa huyu kasema anayaweza mishemishe za porin halaf we unaniambia nisubiri ushauri kwanza?
 
nishakaribia shem nasikia mna tabia nzuri sana kwenu,ndio mana nimekuja na mm kuchomeka mikuki
yaani wewe kazana tu kuimbisha, nakuambia hutajutia walaaaaaaa......
ngoja nisijifagilie sana, wewe jitahidi tu utajionea mwenyewe
 
nishakaribia shem nasikia mna tabia nzuri sana kwenu,ndio mana nimekuja na mm kuchomeka mikuki

Mkuu naona elimu ya Anthropolojia uliruka baadhi ya vipengele..eti mwenye tabia nzuri nan? huyu huyu Kipipi au? ama kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza...consult Erickb52 for more clarification..
 
Last edited by a moderator:
nimepata tabu sana kumpata wa kwenda nae porini,si unajua shughuli zetu za porini?watoto wote wanataka kushinda mjini tu, sasa huyu kasema anayaweza mishemishe za porin halaf we unaniambia nisubiri ushauri kwanza?

Bora hata uendelee kukaa na Nyani kwanza...ukijiridhisha na huyu binadamu ndiyo umchukue! usiharakie sana
 
Back
Top Bottom