Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Umekwwpa kuitwa mbea tu🤣🤣
Unamkumbuka sana
Linini? 🤣Litaje na la kwako basi😂
Lemkuwazi sio?😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kikuu ni mtani wangu ndio maana sijamtaja.
Litapeli lako lilivyokubebisha kimasihara wnzi zile😅Linini? 🤣
Haswaaaaaaah.
2007 ni juzi juzi 😅😅2017 juzi juzi.
Miaka ya 2014 kwenda 2015 humu kulikuwa Kwa Moto sanaa....
2013 2012
😅😅😅 lazima adui achanganyweMara kigamboni mara BK khaa
Ungechukua tuu. HahahaKuna kipindi ningekupora, sema nilikuheshimu tu[emoji23]
Ndio maana Kagera ina dorora mna misifa kibao utendaji sufuri😅😅😅 lazima adui achanganywe
Acha wivuuu 🤣🤣🤣Ndio maana Kagera ina dorora mna misifa kibao utendaji sufuri
Nimuonee wivu fukara nitakuwa na akili kweli?Acha wivuuu 🤣🤣🤣
Fukara yuko wapi 😅😅Nimuonee wivu fukara nitakuwa na akili kweli?
Vayolensi zimeanza[emoji1544][emoji1550]Nyani ngabu ni mtu wangu??.hebu futa hapo me nimeolewa kabisa huku mkuu usiniletee shida ndoa yangu bado watoto wachanga.shindwa pepo.hebu futa hapo kabla mwenyewe hajaingia humu