Hapa si wanataja coupe tyuu muhusika wanini shoss naona watu wanajizima dataa kukomalia kapo chache tyuu wengine zao wanajifanya kama hazikuepo vileNaogopaaa Ban shouuuzzz
Ningetajaa zoteee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au nimuite yeye muhusika aje??
Wote hamjiaminiii sasa mnazunguka zunguka tu 😅!Naogopaaa Ban shouuuzzz
Ningetajaa zoteee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au nimuite yeye muhusika aje??
Teh teh tehWeee mambo gani kunitangaza sasa.
Kwanza wee unatoka na nani
[emoji16][emoji16][emoji16]Mtaalam wa mbususu [emoji1787][emoji1787]
alafu wewe ngoja nikuitie Mzee wa kupambania aje akutoe outing kidogoTeh teh teh
Basi sisi wana JF tulijua ni wewe
😳Kuna nn tena?Naweza jifanya kuwa sijulikan kumbe wakuu wananifahamu wote hadi baby wangu haha haaa wakuuu mmetisha sana.
mmenifurahisha mlipo mtaja dada yangu ANGA na baby wake DAWA.
jf ni mtaa na unauongozi wake
Viongozi wake ni
mwenyekiti wa mtaa ni National Anthem mtendaji ni Mr kenice wajumbe wa mtaa Dahan Bantu Lady To yeye Mzee wa kupambania
Baraza la wazee
Mshana Jr mpwayungu village Nyani Ngabu
🤣🤣usalama upo mama😳Kuna nn tena?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee waache tyuuh.Hapa si wanataja coupe tyuu muhusika wanini shoss naona watu wanajizima dataa kukomalia kapo chache tyuu wengine zao wanajifanya kama hazikuepo vile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wote hamjiaminiii sasa mnazunguka zunguka tu [emoji28]!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭Nyie huyo mwamba anayeongoza humu mbona hamumtaji na hizo kapo zake nyingine mnaziogopa🤔
???
Hebu zitajenii kama Kweli mnajiamini! Mnazunguka zunguka tu tajenii kama nyie wanaume/ wanawake Kweli! Mbona nyingine mmetaja ???🙇
Ndio wewe Demiss Chamdeko?[emoji23][emoji23][emoji23] Yaan wewe
Ogopa matapeli Jf hakuna wanawakeYani mnapofika point mnasema Jf kuna wanawake mnanichanganya sana, Kwani huku wote si men!!!?
Thubutuuuu 🤣🤣🤣🤣 mie naikumbuka ila acha nitulize mshono nipambane nashida zangu!😂😂Ahsante Mungu mimi kapo yangu wanazengo wameshaisahau