Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

Ewaaa nilimtamanigi ๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚ nilimuona kwa mala ya kwanza ile white part pale kebs ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… kuna jamaa alikuwa anajiweka karibu nae alikuwa blackberry bold naona kama alikuwa mkali wa hizo kazi kipindi kile ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Naomba nisiseme neno mkuu, tuishie tu kwamba zamani Jf ilikua raha sanaaaa...๐Ÿ˜œ
 
Naomba nisiseme neno mkuu, tuishie tu kwamba zamani Jf ilikua raha sanaaaa...๐Ÿ˜œ
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… au ndio weyee. mwenye blackberry bold ... kitambo ilikuwa tamuu sanaa.. nikielezea visa watu wasije unga dots njkajifichua na mie ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ kuna mtu alikuwa anaitwa Horomarosha na Mentor .. haka kahoro kalinichomesha mahala nilivyojua daaah ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Imeisha hiyo....๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ
Enzi hizo ndio passo zimeingia bongo....๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Basi nilitumia muda mrefu sana kumfuatilia mudi mmoja mdada sikuzile nilipo tupia nyavu nilikula bani ya dunia...๐Ÿค—
Sikuizi naona amepanda cheo kawa kodineta flani hivi, Mungu amuweke yule dada aiseeee...โ˜บ
 
Back
Top Bottom