Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

Hako nika sungura pori
 

Umeisahau Couple yangu na Miss BlackBerry na sijui alipotelea wapi yule mrembo
 
Watu tunasema JF wakongwe wamepotea, kumbe wakongwe ni ninyi wenyewe! Wine mpya kwenye chupa ya zamani au chupa mpya wine ya zamani!

Watu ID mpya halafu mnajua mambo ya zamani! 🀣 National Anthem Mkuu nimekuogopa
sana!

Na JF ndio nimeiogopa zaidi, ngoja wengine tuendelee kujificha tusijedakwa tukang'olewa kucha.
 
Hizi ID mpya zisikutisheee.


Kuna Mwamba aliwah kumtongoza binti then bint akabadili Id akatongozwa again na Mwamba.

Jua tuu Id mpya nyani wale waleeee.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… jf ina uraibu sana, nilisimama kutumia Jf toka 2014 hadi kwenye 2018.. nikahisi nimetoka mazima nikajikuta narudi.. JF ni sehemu nzuri sana ya kupata taarifa mbali mbali lakini ambao mda mwingi tupo peke yetu ni sehemu nzuri ya kupiga story na kutua stress. Binafsi nimeanza tumia Jf 2007. Na ID ipo active ila siitumii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…