Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

Shangaa Nawewe!! Halafu hapo kalikua kananifatilia kweli kweli mpaka nikashangaa kananitafutia mimiiii mtu wa miaka 47 hukoo kumbe kalikua kanalishwa matango porii kama wenzie wanavyolishwa ila wenzie wametuliza mishono kenyewe sasa kujifanya kananijua 🙌🙌🙌🙌 !!
Hako nika sungura pori
 
Tunapoongelea maswala ya mahusiano, haijalishi tunaonana au hatuonani, lakini tunafahamiana.

Zama zile za kukutana Kebby's na Leo Tupo Hapa, zilitufanya tuwe kama ndugu huku kukiwa na Arusha Wing na Dar Wing.

Arusha Wing walitia fora kwani waliweza kuwakaribisha Dar Wing mkoani Arusha mara kadhaa huku wakiwaweka kwenye hoteli nzuri, vyakula bora, vinywaji na mbususu pia wana Dar es Salame walihudumiwa.

Kipindi kile kulikuwa na mahusiano yaliyobamba sana. Wengine walienda mbali zaidi hadi wakafunga pingu za maisha.

Mwita Maranya na mwaJ, walibamba sana. Hii ilikuwa bonge ya couple.

Kipaji Halisi na Madame B, huyu jamaa alikuwa anapenda sana mpira, umbo lake dogodogo tu, lakini ana push bonge la jimama. Madame B ni mzigo wa kwenda sio kitoto. Mbwata imekaa kwa kutulia, unaweza kuweka laptop yako ukaendelea na kazi zako asipojitingisha.

cacico na Kiranja Mkuu, huyu dada alipotelea wapi sijui, lakini mara ya mwisho nilikutana naye Karen Blixen Nairobi, aisee alikuwa ni mzuri ile mbaya.

suzy na Sumbalawinyo, huyu jamaa alikuwa mtata sana akitokea Sumbawanga, akajijuta amebeba bonge la toto.

Hizi couple za Sky Eclat na Asprin , Nyani Ngabu na Miss Natafuta, mzabzab na To yeye ni mpya sana aisee.

Umeisahau Couple yangu na Miss BlackBerry na sijui alipotelea wapi yule mrembo
 
Watu tunasema JF wakongwe wamepotea, kumbe wakongwe ni ninyi wenyewe! Wine mpya kwenye chupa ya zamani au chupa mpya wine ya zamani!

Watu ID mpya halafu mnajua mambo ya zamani! 🤣 National Anthem Mkuu nimekuogopa
sana!

Na JF ndio nimeiogopa zaidi, ngoja wengine tuendelee kujificha tusijedakwa tukang'olewa kucha.
 
Watu tunasema JF wakongwe wamepotea, kumbe wakongwe ni ninyi wenyewe! Wine mpya kwenye chupa ya zamani au chupa mpya wine ya zamani!

Watu ID mpya halafu mnajua mambo ya zamani! [emoji1787] National Anthem Mkuu nimekuogopa
sana!

Na JF ndio nimeiogopa zaidi, ngoja wengine tuendelee kujificha tusijedakwa tukang'olewa kucha.
Hizi ID mpya zisikutisheee.

Kuna Mwamba aliwah kumtongoza binti then bint akabadili Id akatongozwa again na Mwamba.

Jua tuu Id mpya nyani wale waleeee.
 
Watu tunasema JF wakongwe wamepotea, kumbe wakongwe ni ninyi wenyewe! Wine mpya kwenye chupa ya zamani au chupa mpya wine ya zamani!

Watu ID mpya halafu mnajua mambo ya zamani! 🤣 National Anthem Mkuu nimekuogopa
sana!

Na JF ndio nimeiogopa zaidi, ngoja wengine tuendelee kujificha tusijedakwa tukang'olewa kucha.
😅😅😅 jf ina uraibu sana, nilisimama kutumia Jf toka 2014 hadi kwenye 2018.. nikahisi nimetoka mazima nikajikuta narudi.. JF ni sehemu nzuri sana ya kupata taarifa mbali mbali lakini ambao mda mwingi tupo peke yetu ni sehemu nzuri ya kupiga story na kutua stress. Binafsi nimeanza tumia Jf 2007. Na ID ipo active ila siitumii
 
Back
Top Bottom