Kabisa mkuu, tuishi humu!Hizi ID mpya zisikutisheee.
Kuna Mwamba aliwah kumtongoza binti then bint akabadili Id akatongozwa again na Mwamba.
Jua tuu Id mpya nyani wale waleeee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nime mkumbuka mdada mmoja alikuwa anaitwa Ynah [emoji28][emoji28] alikuwa mpolee.. wakongwe ikatokea wakarudi wote paaap patanoga sanaa
Aaah mkuu mimi mtu wa AMANI kuliko unavyofikiri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa mgomvi saana
Wewe wasikukumbuke.Hata mimi mnikumbuke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzee wa fursa hahaWewe wasikukumbuke.
Naomba dua yangu ifikeee.
Wasije kukuonesha mambo mabaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chitchaaatMzee wa fursa haha
Hofu ondoa mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chitchaaat
Unaogopa couple yako isitajwe eeh? Watanishtua tu hawa warembo. Dua yako ni kama ya kuku haitampata mwewe π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Wewe wasikukumbuke.
Naomba dua yangu ifikeee.
Wasije kukuonesha mambo mabaya
Ndio hapo SASA.Hofu ondoa mkuu.
Hivi mtaani ukose mrembo na chitchat ukose mrembo hata wa kumwita baby?[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona nimeitaja mara nyingi ulikuwa wapi?
Daah mkuu tumetoka mbali sana...tangu 2015 ujue enzi za Patience123 toto zuriπMimi Glenn Alisha itaja. Kapo yangu na cute b
thank you pretty pie, usikome kutuombea...
Kamanda...umetua?πthank you pretty pie, usikome kutuombea...
Nakupendaga tu mimi.. ππ
Nakusalimia kamanda...Kamanda...umetua?π
Kamanda nimepokea kwa moyo woteπππNakusalimia kamanda...
Yaaani....Daah mkuu tumetoka mbali sana...tangu 2015 ujue enzi za Patience123 toto zuri[emoji23]