Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

Aaah mkuu mimi mtu wa AMANI kuliko unavyofikiri.
Usiogope mwandiko wangu utakosea😂😂
Mida yetuuuu .. furaha ya candle zinapotiii kama kumwagisha majii😅😅😅
Screenshot_20230405_201302_Gallery.jpg
 
Watu nahisi wamepumzika wengine wamekuja kivingine
Jamaa alikuwaga mtu wa masihara sana na figganigga plus kina husninyo na sweetlady.

Nilikuwa napenda ukutane na thread yupo Kaizer, babu Asprin, Ashadii, Dark City, MwanajamiiOne, King'asti, Mtambuzi na Nyumba Kubwa, Paka Jimmy, Kongosho, The Boss and the crew.......wee utafurahia conversation yao wanatema madini hadi raha.
Kipindi hicho ukimtukana mtu unaambiwa uombe msamaha.
 
Back
Top Bottom