Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

Naomba nisiseme neno mkuu, tuishie tu kwamba zamani Jf ilikua raha sanaaaa...😜
 
Naomba nisiseme neno mkuu, tuishie tu kwamba zamani Jf ilikua raha sanaaaa...😜
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… au ndio weyee. mwenye blackberry bold ... kitambo ilikuwa tamuu sanaa.. nikielezea visa watu wasije unga dots njkajifichua na mie 🀣🀣🀣 kuna mtu alikuwa anaitwa Horomarosha na Mentor .. haka kahoro kalinichomesha mahala nilivyojua daaah 🀣🀣🀣🀣
 
Imeisha hiyo....😜😜
Enzi hizo ndio passo zimeingia bongo....πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Basi nilitumia muda mrefu sana kumfuatilia mudi mmoja mdada sikuzile nilipo tupia nyavu nilikula bani ya dunia...πŸ€—
Sikuizi naona amepanda cheo kawa kodineta flani hivi, Mungu amuweke yule dada aiseeee...☺
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…