Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

Tunapoongelea maswala ya mahusiano, haijalishi tunaonana au hatuonani, lakini tunafahamiana.

Zama zile za kukutana Kebby's na Leo Tupo Hapa, zilitufanya tuwe kama ndugu huku kukiwa na Arusha Wing na Dar Wing.

Arusha Wing walitia fora kwani waliweza kuwakaribisha Dar Wing mkoani Arusha mara kadhaa huku wakiwaweka kwenye hoteli nzuri, vyakula bora, vinywaji na mbususu pia wana Dar es Salame walihudumiwa.

Kipindi kile kulikuwa na mahusiano yaliyobamba sana. Wengine walienda mbali zaidi hadi wakafunga pingu za maisha.

@ Mwita Maranya na mwaJ, walibamba sana. Hii ilikuwa bonge ya couple.

Kipaji Halisi na Madame B, huyu jamaa alikuwa anapenda sana mpira, umbo lake dogodogo tu, lakini ana push bonge la jimama. Madame B ni mzigo wa kwenda sio kitoto. Mbwata imekaa kwa kutulia, unaweza kuweka laptop yako ukaendelea na kazi zako asipojitingisha.

cacico na Kiranja Mkuu, huyu dada alipotelea wapi sijui, lakini mara ya mwisho nilikutana naye Karen Blixen Nairobi, aisee alikuwa ni mzuri ile mbaya.

suzy na Sumbalawinyo, huyu jamaa alikuwa mtata sana akitokea Sumbawanga, akajijuta amebeba bonge la toto.

Hizi couple za Sky Eclat na Asprin , Nyani Ngabu na Miss Natafuta, mzabzab na To yeye ni mpya sana aisee.

Kuna couple na hamsemi jaman[emoji23]
 
Humjui huyo mtu aisee,bado anawala na atawatafuna wengi humu kwa tamaa zao,last time I checked alikua anakatafuna kadada ka1 hivi ila kama alijiegesha tu
👀👀👀👀👀👀👀 Duuh jf sitakuacha asee huyu jamaa navyomchukuliaga kumbe ni kitombilo............
 
Mama Facebook alipotelea wapi? Na kidume chake Toboatobo... nilikiwa nacheka sana wanavyo babishana. Lala 1 na stori zake za kuwashushua wenzie... huwa na mashaka sana aliliwa na ..... aah ok
 
Back
Top Bottom