Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Na nkimtaja jina najua tu tutagombana.Ugomvi huo🤣🤣🤣🤭
😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nkimtaja jina najua tu tutagombana.Ugomvi huo🤣🤣🤣🤭
😂😂😂😂 YalaaaahMtu mzuri kweli yule aisee
🤣🤣🤣😂😂😂😂 Yalaaaah
Yap lara1 sijui ameishia wapi huyu kiumbe,she was my friend,Lara shost if you will read this please pm ,me your number,long time no see my dear🙏Wapi Paloma enzi zile JF ni JF.
Wapi Lara1
This was the best
Bora umute😜Na nkimtaja jina najua tu tutagombana.
😂😂😂
Mtaje bwana kwa code kwani yupo siku hizi mimi najua kaleft Jf baada ya picha zake kuvujaNa nkimtaja jina najua tu tutagombana.
😂😂😂
Nmefunga sitak ugomvi.😂😂Bora umute😜
Anapondea sana singlemom 🙄 ....urafiki ukafa😏Kwani ana ubaya gani kipenzi
😂😂😂😂Mhhhh me nasemea yule waloenda wote kule mkoa.Mtaje bwana kwa code kwani yupo siku hizi mimi najua kaleft Jf baada ya picha zake kuvuja
[emoji16][emoji16][emoji16] basi tulia hivyohivyoThubutuuuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mie naikumbuka ila acha nitulize mshono nipambane nashida zangu![emoji23][emoji23]
🤣🤣Ila love bhana😂😂😂😂Mhhhh me nasemea yule waloenda wote kule mkoa.
Au ndo yule yule unamsema ww mana anapenda sana kupaka rangi kweny kucha😂😂😂😂.
Dah bora wewe unanijua vizuri. Hawa wananisingizia tuu.Kaka yangu mzabzab sio kitombile kwanza kaokoka😬
🤣🤣 Jaman!Dah bora wewe unanijua vizuri. Hawa wananisingizia tuu.
😂😂😂 Wanaume wenyewe hawa timu kataa ndoa.Mi mapenz humu yamenishinda