Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

Umsumbue jamaa kwa kipi ana hogo la dhahabu 🤪
Shangaa Nawewe!! Halafu hapo kalikua kananifatilia kweli kweli mpaka nikashangaa kananitafutia mimiiii mtu wa miaka 47 hukoo kumbe kalikua kanalishwa matango porii kama wenzie wanavyolishwa ila wenzie wametuliza mishono kenyewe sasa kujifanya kananijua 🙌🙌🙌🙌 !!
 
Back
Top Bottom