Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

Nimemwandikia Mello. Hutakaa ubadili ID tena. Ukiweza kubadili tena nitafute nikupeleke out tukale kitimoto [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Yani ilibidi nitoke porini kupata mbuzi
Screenshot_20230405_173653_Gallery.jpg
 
[emoji28][emoji28][emoji28] jf ina uraibu sana, nilisimama kutumia Jf toka 2014 hadi kwenye 2018.. nikahisi nimetoka mazima nikajikuta narudi.. JF ni sehemu nzuri sana ya kupata taarifa mbali mbali lakini ambao mda mwingi tupo peke yetu ni sehemu nzuri ya kupiga story na kutua stress. Binafsi nimeanza tumia Jf 2007. Na ID ipo active ila siitumii
Wewe ndio nyani ngabu au???

Wazee wenye jf Yao.
 
Ilikuwa ni km unawaambia JF members ni jinsi gani ulikuwa na upeo mdogo.......kila mtu analinda heshima yake hahahahahaha. Sehemu pekee ya kutamka haya ni kwenye ugomvi wa Chit Chat

CC: National Anthem
Nime mkumbuka mdada mmoja alikuwa anaitwa Ynah 😅😅 alikuwa mpolee.. wakongwe ikatokea wakarudi wote paaap patanoga sanaa
 
Nime mkumbuka mdada mmoja alikuwa anaitwa Ynah 😅😅 alikuwa mpolee.. wakongwe ikatokea wakarudi wote paaap patanoga sanaa
Ynah mdogo wangu jamani sijui yuko wapi. We Ynah wewe kama unanisoma hebu like hapa!

Nimesoma comment yako uliyoniqoute huko juu hadi nimecheka.

Binafsi nimeshaadmit, JF siwezi kuacha kuitumia, ni kakijiwe fulani hivi amaizing!
 
Back
Top Bottom