Couple ya Manara na ZaiyLissa ni couple yenye mvuto zaidi hapa nchini na ili wadumu hawatakiwi Kuonana

Couple ya Manara na ZaiyLissa ni couple yenye mvuto zaidi hapa nchini na ili wadumu hawatakiwi Kuonana

Ila yanga wana jezi kali kwa kweli


Wale wa VAR embu zoom hapo kwenye sendo za manara 😁😁😁
Hakuna maajabu mkuu.

images.jpeg

images (2).jpeg
images (1).jpeg
Screenshot_20231206-222542~2.png
 

Tuseme tu ukweli, couple ya Haji Manara na ZaiyLissa ni couple inayokuwa kwa kasi sana na wakiendelea hivi hivi huenda ndio ikawa couple yenye mvuto zaidi hapa nchini.

Zai na Haji wanapendezana sana sana tena sana yani, na ili couple yao izidi kunoga wanatakiwa waishi hivi hivi bila ndoa.

Haji
na Zai wamekutana wote waluwalu /mapepe, Zai bado anajitafuta na anapenda yale maisha ya gharama maana akijicheki kajina kanakua na hana mia nyekundu kuendana na umaarufu unaoendelea kukua kila kukicha Sasa kuwa na mtu kama Haji ni mtu sahihi sana kwake kwa kipindi hiki maana Haji ni hodari mno wa kuhonga na ni mpenda starehe sana ,ila tu ni limbukeni mkubwa wa mapenzi.

Kwa hiyo muunganiko wa hawa wawili utakuwa na nguvu na utavutia ila tu usifikr mpaka hatua ya ndoa.

Chai
 
Manara anaonekana alipata shida sana kumiliki piskali miaka ya nyuma kwahy kwasas anatumia nafas aliyoipata, ni kama diamond anavyo watumia wanawake wengi ni kutokana na kuumuizwa sana enzi hizo hana uwezo wa kumiliki ziliznyooka
unamiliki pisi kali na huna nguvu za kumbato,hapo lazima wakukimbie
 
Back
Top Bottom