Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #81
Oooooh kumbeee ,nilikuwa sijawahi kusikia hili kabla .Kosa la marehemu, ndo najiuliza ni kujilipua au ni kutokujua
Ngoja niipeleleze hii habari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooooh kumbeee ,nilikuwa sijawahi kusikia hili kabla .Kosa la marehemu, ndo najiuliza ni kujilipua au ni kutokujua
Sasa ww umekubali kuolewa na bado unataka ufanye unavotaka ww? Nina uhakika bado haujaolewa na bado ni mtoto mdogo ww.Anaonekana ni controlling man, utaona wanawake akiwa nao wanafubaa, wakiachana wanapendeza.
Ni wale wanaume wa usivae hiki, usongee na Yule, usiende kule.....halafu na gubu juu.
Wananzengo tulikubaliana aoane na Dida Ili mzani ubalance, ingawa Kwa Zai pia sio mbaya.....Kwa mbaaali inakuja.
Rare case, hongera mkuu 👏Dah Mimi Mke wangu kanizidi aiseeee! Na tumekua pamoja since 1999
Couple bora unapima kwa picha za kimahaba wapigzo na rangi ya melanin walizo nazo na si tabia?
Tuseme tu ukweli, couple ya Haji Manara na ZaiyLissa ni couple inayokuwa kwa kasi sana na wakiendelea hivi hivi huenda ndio ikawa couple yenye mvuto zaidi hapa nchini.
Zai na Haji wanapendezana sana sana tena sana yani, na ili couple yao izidi kunoga wanatakiwa waishi hivi hivi bila ndoa.
Haji na Zai wamekutana wote waluwalu /mapepe, Zai bado anajitafuta na anapenda yale maisha ya gharama maana akijicheki kajina kanakua na hana mia nyekundu kuendana na umaarufu unaoendelea kukua kila kukicha Sasa kuwa na mtu kama Haji ni mtu sahihi sana kwake kwa kipindi hiki maana Haji ni hodari mno wa kuhonga na ni mpenda starehe sana ,ila tu ni limbukeni mkubwa wa mapenzi.
Kwa hiyo muunganiko wa hawa wawili utakuwa na nguvu na utavutia ila tu usifikr mpaka hatua ya ndoa.
Shukrani sana sana! KaribuRare case, hongera mkuu 👏
White ndio kakutuma....

Hawa jali katika cheni zao mule mule potelea mbaliTatizo hawa watoto wana njaa sana, hawajali kama kuna hayo madhara mbeleni.
Ukifika wakati wa kutumikia dawa ndipo akili zitakapowarudi.
Ila we jamaa ni mbaguzi sana haa haaAnajitahidi kujitunza ndio maana ulemavu wake unaonekana kawaida tu.
Mm nimewahi date na albino mwanamke aisee ile Hali yake ilinishinda kbsaa kbsaa duh mwili unateleza Kama nyoka achilia mbali mdomo wake nilishindwa kbsa kumla mate ila papuchi niliichakata inakuwa nyekunduuu[emoji1787][emoji1787]Hivi Eve hata kama ni wewe utaweza kweli kuishi na Manara kwa mdomo ule mchafu?
Mimi sijawahi kuwaelewa hao wanawake zake.
Huyu jamaa kuna stage aliruka kwenye ukuaji wake.
Tuseme tu ukweli, couple ya Haji Manara na ZaiyLissa ni couple inayokuwa kwa kasi sana na wakiendelea hivi hivi huenda ndio ikawa couple yenye mvuto zaidi hapa nchini.
Zai na Haji wanapendezana sana sana tena sana yani, na ili couple yao izidi kunoga wanatakiwa waishi hivi hivi bila ndoa.
Haji na Zai wamekutana wote waluwalu /mapepe, Zai bado anajitafuta na anapenda yale maisha ya gharama maana akijicheki kajina kanakua na hana mia nyekundu kuendana na umaarufu unaoendelea kukua kila kukicha Sasa kuwa na mtu kama Haji ni mtu sahihi sana kwake kwa kipindi hiki maana Haji ni hodari mno wa kuhonga na ni mpenda starehe sana ,ila tu ni limbukeni mkubwa wa mapenzi.
Kwa hiyo muunganiko wa hawa wawili utakuwa na nguvu na utavutia ila tu usifikr mpaka hatua ya ndoa.
Huyu mzungu anawatembezea sana mademu wa townJamaa anapenda Maisha ya kuongelewa mtandaoni.
Asichokijua ni kwamba anaongelewa kwa mambo ya hovyo.
SEMAJI HONGERA KWA KULA WATOTO WAZURI.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Baba yake nahisi alikosea sana kumtoa haji ulaya, angemuacha hukohuko labda angekuwa na akili kidogoHuyu jamaa kuna stage aliruka kwenye ukuaji wake.
Mtu mzima anahangaika na vidada vya mjini.
Tupe ufafanuzi mkuu mraibu wa kipiraHaji ni mraibu wa "Kipira" halafu huyo mtoto wala hana tabu..wengine walishindwa kuvumilia..ngoja tuone huyu!
Watu wanaishi kwa kua public characters of some sort.
Tuseme tu ukweli, couple ya Haji Manara na ZaiyLissa ni couple inayokuwa kwa kasi sana na wakiendelea hivi hivi huenda ndio ikawa couple yenye mvuto zaidi hapa nchini.
Zai na Haji wanapendezana sana sana tena sana yani, na ili couple yao izidi kunoga wanatakiwa waishi hivi hivi bila ndoa.
Haji na Zai wamekutana wote waluwalu /mapepe, Zai bado anajitafuta na anapenda yale maisha ya gharama maana akijicheki kajina kanakua na hana mia nyekundu kuendana na umaarufu unaoendelea kukua kila kukicha Sasa kuwa na mtu kama Haji ni mtu sahihi sana kwake kwa kipindi hiki maana Haji ni hodari mno wa kuhonga na ni mpenda starehe sana ,ila tu ni limbukeni mkubwa wa mapenzi.
Kwa hiyo muunganiko wa hawa wawili utakuwa na nguvu na utavutia ila tu usifikr mpaka hatua ya ndoa.
Ukiona hujaelewa jua haikuhusuTupe ufafanuzi mkuu mraibu wa kipira