Couple ya Manara na ZaiyLissa ni couple yenye mvuto zaidi hapa nchini na ili wadumu hawatakiwi Kuonana

Kwa nini?
Unavuta hata wanne unawagonga weee ukiwachoka unawarudisha kwao wakaolewe na mwingine alafu unavuta wanne wengine, hivi ile ya mabikra 72 ulifikiri ni kule ahera madukani tu ndio itatokea? Umiwabadirisha wanne wanne mara 18 unajua umeshatimiza 72 na hio ndio raha kishika uchumba 5k mahari anachagua binti hata mkeka twende onasomewa dua unachukua chombo chako ukaendelee kukigonga hio ndio raha
 
Bila shaka hujamielewa mleta mada msimuliaji amemaanisha kwa tabia za hivi viumbe i mean tabia zao ni za hivyo so wataendana kifupi hivyo viumbe havihitaji kuwa na waungwana ni pipa na mfuniko hapo vimekutana ni pwagu na pwaguzi
 
Mkuu, una upeo mdogo sana wa kujuwa vitu. Usiwe unaangalia picha tu na kusifu upuuzi, kuna mengi ndani ya picha. Kwa tuliosoma ukiona tu picha hii unaona kuna hitilafu na kushikwa na mshangao wa watu kama wewe mnaoshabikia upuuzi. Pichani huyu demu anaonekana kabisa hana hisia na Manara, hii inaweza kuwa (1) wamepanga tu kupiga picha za show off kuwatia hofu watu fulani wanaowakusudia (2) kuna mmoja kati ya hawa wawili ni limbukeni wa mapenzi na ni dhahiri kumjuwa maana ni yeye tu ndiye yuko na kicheko kwa kila picha. Kisaikolojia, huyu mtu huenda anaumizwa na matukio ya nyuma ambayo yako nje ya uwezo wake kuyatatua ndiyo maana anawehuka kwa kujilipua na mapenzi mapya ambayo ni hewa tu lakini hajuwi (3) kuna mmoja huenda yupo kwenye hili penzi lakini hayumo, yupo tu kwa ajili ya exposure (ili aonekane na wanaume wengine) na ndiyo maana anapiga picha kama hataki na hana tabasamu (4) Yote tisa, kumi - inaweza kuwa si wapenzi kama unavyodhani, wapo tu kwa ajili ya kujivinjali kama vile kupiga mapicha na kufanya promosheni zao za kuongelewa mitandaoni ili watrend. Nikuulize wewe mleta mada, unafiki kuna mapenzi hapa kweli, huyu mwanamke ana akili na anajuwa historia ya huyu jamaa, unafikiri mwanamke gani anapenda kudhalilishwa na limukeni wa mapenzi Mze? Wanawake wa Dar walivyo na njaa, usishangae hata Kajala na machangu wengine wa mjini wakawa mademu wa huyu jamaa, mjini hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…