Couples Verification!

Couples Verification!

afadhali umemuambia...maana naona kashaanza kunimendea...mwambie atafute vijana wenzake sisi wazee shughuli yetu haiwezi...

ko unataka kumkana enhee...........we endelea tu

ila jua taarifa kwa mkeo zitafika tu
 
afadhali umemuambia...maana naona kashaanza kunimendea...mwambie atafute vijana wenzake sisi wazee shughuli yetu haiwezi...
Sikumendei wewe nataka unipe huyo mwanao mmoja!nataka damu changa we kikongwe Mi nitakuweza wapi!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom