Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
Mr Rocky eti ni kweli una ndoa 58.......sosi Vin Diesel
Unadhani atakanusha? kuna dalili akasema idadi ni kubwa zaidi kuliko niliyotoa.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mr Rocky eti ni kweli una ndoa 58.......sosi Vin Diesel
na mie nipe ruksa nidili na wanaokusumbua>>>>>>>>>
Unadhani atakanusha? kuna dalili akasema idadi ni kubwa zaidi kuliko niliyotoa.....
we jieleze tu.....atakuja leo alikute hilo jeusi kama mpingo!!!
Haya ufanye mhadhara kabisa naja!we jieleze tu.....atakuja leo alikute hilo jeusi kama mpingo!!!
Vin Diesel najua Erickb52 ndo anaongoza kwa kuwa na ndoa nyingi na vile ni mzee wa pendapenda na mwekekiti wao siwezi kubioshamkuu mpaka sasa una ndoa 58.....hazikutoshi tu?
Mr Rocky eti ni kweli una ndoa 58.......sosi Vin Diesel
:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:Mr Rocky hana historia ya kuacha.....
You are gud to go....kuwa makini tu:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:
Mbona unataka kunitibulia dili zangu zote aseeee
akija tutalitoa bandani na kumchinjia ale...akitaka na ule mchuzi wake atakunywa
Aisee itabidi mwenyekiti anipange upya!yamenishuka mie.......
mimi49 inabidi utafute mueleko mwingine
Aisee itabidi mwenyekiti anipange upya!
kumbe unalijua eenh...ngoja sasa aje akuparureee
Lady doctor na Heaven on earth wameubeba moyo wangu.....angalia usiwatingishe wakauangusha...Aaaaah kwani ulikuwa siriasi kabisa?
Ngoja basi nigeuze kibao nianze kukupigia debe. Au?
I will na mie nimeumbiwa wivu ujue.......
ni hatareee...ngoja nizifanyie editing kwanza....maana vifanyio vipo nje waziwazi!!!
Hatari zaidi ya danger......