Couples Verification!

Mkuu Mr rocky wakati mwingine huwa sielewi elewi, lakini naamua kukaa kimya tu. Mara anatafuta wazungu wakati mimi nipo humu humu.
 
Hahahah....ngoja kwanza aandike wosia, maana hadi leo na uzee wote ule bado anajitutumua kuwa ni kijana

Ngoja kwanza aote jua apate nguvu za kuandika....kila asubuhi na jioni lazima aanikwe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…