Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
ngoja nikuchemshe bongo kidogo....
ni mwanamgu gani unayemtaka?
Mwanao wa katikati..........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ngoja nikuchemshe bongo kidogo....
ni mwanamgu gani unayemtaka?
na kweli...kwenye ukweli ngumi huwa zinatembea... Heaven on earth...ukisikia paaaa....kimbia fasta
The secretary akikusikia .........Tumjaribu Bishanga....akifa hakuna hasara
Ulitaka vya wenzio ndio viishe.....tena tunakujaribishia kwenye viungo muhim
Mwanao wa katikati..........
Mkuu Mr rocky wakati mwingine huwa sielewi elewi, lakini naamua kukaa kimya tu. Mara anatafuta wazungu wakati mimi nipo humu humu.
ndo naja mie...mafile kwa mkoloni hayaendi hata bila kiporo
eti bado anampenda pia sosi Arabela
Hahahah....ngoja kwanza aandike wosia, maana hadi leo na uzee wote ule bado anajitutumua kuwa ni kijana
The secretary akikusikia .........
mambo mengine Vin Diesel huwa tunaongea taratibu hata wake zetu wasijue sasa unataka mpaka Heaven on earth ajue kuwa tuna small hausi na big house na kidumu na kisufuria
Mr Rocky.....mke wangu Heaven on earth anajua kila kitu changu....simfichi kitumambo mengine Vin Diesel huwa tunaongea taratibu hata wake zetu wasijue sasa unataka mpaka Heaven on earth ajue kuwa tuna small hausi na big house na kidumu na kisufuria
Mi nataka pilau!!umeona wapi mgeni akapewa supu si mzazi atiakija tutalitoa bandani na kumchinjia ale...akitaka na ule mchuzi wake atakunywa
grafani11 my king ndio unaamka sasa hivi......Supu iko mezaniMkuu Mr rocky wakati mwingine huwa sielewi elewi, lakini naamua kukaa kimya tu. Mara anatafuta wazungu wakati mimi nipo humu humu.
umeulizwa wewe...mbona una kifronti fronti hivyo!!!
poa my dia Vin Diesel hofu kwako