Couples Verification!

Couples Verification!

Hello wanajamvi!
Ninaomba kuweka wazi couples ninazozitambua hadi sasa na kama kuna ambao nimewasahau naomba wajitambulishe haraka tafadhari.

Kwa sasa naomba kuwatambua hawa....!
Wafuatao nimeshindwa kujua status zao! Madame B , Chimbuvu Ben Saanane Evelyn Salt Heaven on earth C6 charminglady beibe nasty Slave stevoh PakaJimmy Mungi sweetlady Vin Diesel Mamndenyi Dena Amsi Avemaria Nicas Mtei BAGAH Lucas KakaKiiza Nivea amu Mzee Mentor TANMO Preta mtu chake Blaki Womani Remmy snowhite gfsonwin ladyfurahia Mrembo by Nature na wote ambao sijawamention.
Hivyo naomba mnijulishe kama mko single au occupied au kama mna wanaume saba au wanawake saba saba the tujue tunafanyaje.
Mwenye malalamiko aseme na atasikilizwa na kamati nzima.

I remain
Erickb52
Mwenyekiti

Nashukuru M/Kiti Erickb52 kwa kututambua mm na mme wangu kipnz Rejao,as ni older couple ever.
 
Last edited by a moderator:
Wote hapo juu msiwe na hofu, naomba niwatangazie rasmi leo waote hapo juu na wengine wanaotamani kuja kuwa msiwe na hofu, mke wangu heaven on earth tumeshapatana aende aendako lakini jioni aniletee mahesabu mezani.

Nashangaa wanaojisifu humu vifua mbele kuwa huyu wangu mara wengine wanajishaua kumuandalia breakfast wakati mke wangu anawafanya kama watumishi wa ndani tu. Nimemuagiza kuchuna mabuzi yanayoeleweka sio vimbuzi uchwara.

Kwa hiyo ukiona umekubaliwa ujue kuna kitu unatakiwa uchunwe mpaka kiishe ili jioni wazee tukae kwenye viti virefu.

babe nashukuru kwa kunielewa......usisikilize maneno ya watu wana nia ya

kututenganisha hao..........
 
Back
Top Bottom