Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,341
- 5,543
.....mmenipa majeraha ya ulimi kwaa kunitaja taja humu ....nini tatizo....nimekuja....
Hivi tangu umeachika bado upo singo!?
Kweli nyama hata kwenye sambusa zimo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.....mmenipa majeraha ya ulimi kwaa kunitaja taja humu ....nini tatizo....nimekuja....
Nakuona unawapanga tu....
Lady doctor.. Inasemekana ati umemdampu Arushaone na kutangaza ndoa na Vin Diesel.. Yana ukweli wowote haya..?hata mimi nina swali kama hilo hilo my dia.... Eti ndugu mwenyekiti tunaruhusiwa kuwa na smolhausi???
Hilo sio swali uliza jingine my dear KOKUTONA
me love you sana sana (futa haraka wakina Vin Diesel na Erickb52 wasione na watu8 na Arushaone0
Sitaki siri....afu naomba niujazw moyo wako wote pasiwepo nafasi ya mtu mwingine,,,niwe mimi na wewe tu..
Km uko tayari nikuruhusu uuokote moyo wangu na uujaze kwenye moyo wako afu twende kwa baba JR Erickb52 tukafanye verifikesheni
Hahahahaaaaa......!!!!. huyu Heaven on earth anapenda vibamia ndo maana tunaelewana. Miasalaleeee.... figganigga kuja usome hii maneno
Nini sasa unaguna my dear Heaven on earth
Hahahahaaaaa......!!!!. huyu Heaven on earth anapenda vibamia ndo maana tunaelewana. Mia
Basi hajatulia.Mkuu GRAfan11 mdogo wangu Heaven on earth ni mwaminifu huyo,husiwasikilize hao
Moyo wangu uko tayari na uko salama ukiwa ndani ya moyo wangu na nafasi itakuwa ni yako mwenyewe hakuna mwingine na naamini utajaza nafasi yote ya moyo huo
Verifikesheni inaruhusiwa mara tuu uonapo ujumbe huu na mtaaarifu mheshimiwa sana mwemyekigoda Erickb52 afanye kalikuleshheni zake na atoke na jibu mapema tuu
Asante sana KOKUTONA
Kama wanapangika afanyeje.Nakuona unawapanga tu....
Mimi na wewe tupo verified. Kwako siskii wala sioni. MiaVinajichanganya vyenyewe ila babe figganigga hana mpinzani
hata simjui...
moyo wangu uko tayari na uko salama ukiwa ndani ya moyo wangu na nafasi itakuwa ni yako mwenyewe hakuna mwingine na naamini utajaza nafasi yote ya moyo huo
verifikesheni inaruhusiwa mara tuu uonapo ujumbe huu na mtaaarifu mheshimiwa sana mwemyekigoda erickb52 afanye kalikuleshheni zake na atoke na jibu mapema tuu
asante sana kokutona
leo wewe hunijui mimi!!!!!!!!
mimi na wewe tupo verified. Kwako siskii wala sioni. Mia