Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,363
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani ajuaye pengine wameambiana kuwa yeye ni mkarimu.unaonekana tu....itakuwa kuna vitu vya ziada unatoa ndio maana wan'ang'aniwa na kila kidume
we tu ndio hujaning'angania.....
mke wangu,mkoloni mweusi kabana kidogo....nitarudi baadae....stay safe...
Nani ajuaye pengine wameambiana kuwa yeye ni mkarimu.
ha ha ha...nilijua wakaa uvinza
nimeona, . kweli mapenzi ni maigizo ndio maana hata wazee wnaitwa babyUmeona eeh, hajui mapenzi ni sanaa inayohitaji ubunifu na si nguvu.
ingekuwa Uvinza usingemtuma......
mmh !!!!!!!!
Huko ningekutuma wewe umpelekee
Erickb52 plz hebu nitafutie na mimi wng wa ubani...
wewe mie kuimba kwa kutumia Mic kwenyewe siwezi
Ndo messenger wa kampuni yako?
mwenyekiti anaruhusiwa kufanya ze connection
My king naweza kujumuika na wewe hapo shikamoo juz band.......
hao wasamaria wema unaosema hawana nia njema na sisi
Nilipokwambia kwamba kuna mtu mwingine huwa anakuja nyumbani ukanibishia, umeona mwenyewe leo.