Couples Verification!

Couples Verification!

Hilo sio swali uliza jingine my dear KOKUTONA
me love you sana sana (futa haraka wakina Vin Diesel na Erickb52 wasione na watu8 na Arushaone0

Sitaki siri....afu naomba niujazw moyo wako wote pasiwepo nafasi ya mtu mwingine,,,niwe mimi na wewe tu..

Km uko tayari nikuruhusu uuokote moyo wangu na uujaze kwenye moyo wako afu twende kwa baba JR Erickb52 tukafanye verifikesheni
 
Last edited by a moderator:

Moyo wangu uko tayari na uko salama ukiwa ndani ya moyo wangu na nafasi itakuwa ni yako mwenyewe hakuna mwingine na naamini utajaza nafasi yote ya moyo huo
Verifikesheni inaruhusiwa mara tuu uonapo ujumbe huu na mtaaarifu mheshimiwa sana mwemyekigoda Erickb52 afanye kalikuleshheni zake na atoke na jibu mapema tuu
Asante sana KOKUTONA
 
Bado jambo moja ili niweze kuamini maneno yako na kuuruhusu moyo wangu kujivinjari kwako.

Je, unakubaki kumuacha Dena Amsi ili niwe mimi mimi tu? Na if yes unakubali maneno haya yawekwe kwenye kumbukumbu ili siku ukienda kinyume niwe huru kukushtaki?
 
Last edited by a moderator:
moyo wangu uko tayari na uko salama ukiwa ndani ya moyo wangu na nafasi itakuwa ni yako mwenyewe hakuna mwingine na naamini utajaza nafasi yote ya moyo huo
verifikesheni inaruhusiwa mara tuu uonapo ujumbe huu na mtaaarifu mheshimiwa sana mwemyekigoda erickb52 afanye kalikuleshheni zake na atoke na jibu mapema tuu
asante sana kokutona

huyu nae ni smolo house au kidumu au............
 
Back
Top Bottom