Kula kwa wakati wako na wengine tunakula kwa wakati wetu, uliambiwa ile inaisha?Utasema yote ila hapa ndio mwisho wa reli....kafikishwa mwisho wa safari...
Lini umeanza kusoma kwa masikio mzee?
Nini sasa unaguna my dear Heaven on earth
Hello wanajamvi!
Ninaomba kuweka wazi couples ninazozitambua hadi sasa na kama kuna ambao nimewasahau naomba wajitambulishe haraka tafadhari.
- Erickb52 na Chocs
- watu8 na measkron
- marejesho na Filipo
- DEMBA na kaizer
- Arushaone na Lady doctor
- Arabela na nitonye
- Judgement na YNNAH
- zubedayo_mchuzi na mimi49
- Kabakabana na @uporoto1
- sosoliso na Paloma
- Bishanga na The secretary
- Mungi na Lily Flower
- Mr Rocky na Dena Amsi
- Cantalisia na Rejao
Kwa sasa naomba kuwatambua hawa....!
Wafuatao nimeshindwa kujua status zao! Madame B , Chimbuvu Ben Saanane Evelyn Salt Heaven on earth C6 charminglady beibe nasty Slave stevoh PakaJimmy Mungi sweetlady Vin Diesel Mamndenyi Dena Amsi Avemaria Nicas Mtei BAGAH Lucas KakaKiiza Nivea amu Mzee Mentor TANMO Preta mtu chake Blaki Womani Remmy snowhite gfsonwin ladyfurahia Mrembo by Nature na wote ambao sijawamention.
Hivyo naomba mnijulishe kama mko single au occupied au kama mna wanaume saba au wanawake saba saba the tujue tunafanyaje.
Mwenye malalamiko aseme na atasikilizwa na kamati nzima.
I remain
Erickb52
Mwenyekiti
hata mimi mkuu..nimeingia jana...Nipo mkuu...nimerudi jijini....
:behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa:😛eep:😛eep:Huku nitatangaza vita....ishia huko huko tafadhali....
Heaven on earth ni mke wangu halali....tutatoana roho hapa,ohooooooo...Mwingine huyu hapa chini. Anajifanya shemeji mtu kumbe....ndiyo maana nilimpiga marufuku kufika nyumbani kwangu.
Wote hapo juu msiwe na hofu, naomba niwatangazie rasmi leo waote hapo juu na wengine wanaotamani kuja kuwa msiwe na hofu, mke wangu heaven on earth tumeshapatana aende aendako lakini jioni aniletee mahesabu mezani.
Nashangaa wanaojisifu humu vifua mbele kuwa huyu wangu mara wengine wanajishaua kumuandalia breakfast wakati mke wangu anawafanya kama watumishi wa ndani tu. Nimemuagiza kuchuna mabuzi yanayoeleweka sio vimbuzi uchwara.
Kwa hiyo ukiona umekubaliwa ujue kuna kitu unatakiwa uchunwe mpaka kiishe ili jioni wazee tukae kwenye viti virefu.
Kula kwa wakati wako na wengine tunakula kwa wakati wetu, uliambiwa ile inaisha?
Mr Rocky unajificha nini!!!!!!!!!kumbe maneno mengi huna lolote:behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa:😛eep:😛eep:
Heaven on earth ni mke wangu halali....tutatoana roho hapa,ohooooooo...
Mr Rocky unajificha nini!!!!!!!!!kumbe maneno mengi huna lolote
Lady doctor.. Inasemekana ati umemdampu Arushaone na kutangaza ndoa na Vin Diesel.. Yana ukweli wowote haya..?
cc Bishanga..
Lady doctor.. Inasemekana ati umemdampu Arushaone na kutangaza ndoa na Vin Diesel.. Yana ukweli wowote haya..?
cc Bishanga..
mbona sikuoni tena.......huyo mkoloni anabana hadi penati kha!!!!!